Msanii wa filamu Tausi Mdegella apata mtoto

Msanii wa filamu Tausi Mdegella apata mtoto

Naelewa, unafanya ivo siku zote, ndio sababu njia zangu zimejaa kufanikiwa ... Niseme nn tena, zaidi ya kushukuru Mbingu kuniletea mwanamke mzuri kama wee??mwanamke ambaye ukiachilia mbali uzuri wa Sura , umbo zuri ambalo hunifanya muda wote nihitaji kua pemben mwako, Pumzi tamu kinywan inayochagizwa na harufu nzuri ya ngozi yako , bado bado Ni mwanamke unayepiga magoti na kusali.
Aaww [emoji7][emoji7][emoji7] thanks babe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu jamaa aliniwah tu, mi na Tausi ni marafiki wakubwa tu, kuna kipindi nilimwomba mzigo lakini akanambia kuwa tayari ana mpenzi.... Ila akanambia nikae standby km wakitemana

Siku moja nikiwa najiandaa kulala mida ya saa 3 usiku, nkakuta simu yangu inaita, kuchek Tausi ndo anapiga.. Nikajisemea "Yes dili limetiki" nikapokea kwa madaha na nkaona kafurah kweli... Nikawa na shauku ya kutaka kujua atanambia nin? Ndo akanambiaga kaenda kupima kakutwa ni mjamzito...

Zile taarifa zilinisikitisha kiasi kwa vile kile kiumbe nilitamani kiwe changu lakini nilifurahi sana kusikia best angu ana mimba

Hongera sana best angu Tausi
 
Huyo mwanaume pichani anaitwa Criss kwao Mwanza.
Ni kijana mdogo tu ama duka la nguo kariakoo Criss outfits.
Yupo poa tu kiuchumi.
Lakini inasemekana hajazaa na tausi ni kick tu ili ajulikane na duka lake liuze nguo.
By the way Tausi ana dada yake nae mfupi kama Tausi.
Na huyo dada yake amezaa watoto wafupi tu.
Naona iko kwenye gene.
Huyo dogo anashughuli yeyote au marioo tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo mwanaume pichani anaitwa Criss kwao Mwanza.
Ni kijana mdogo tu ama duka la nguo kariakoo Criss outfits.
Yupo poa tu kiuchumi.
Lakini inasemekana hajazaa na tausi ni kick tu ili ajulikane na duka lake liuze nguo.
By the way Tausi ana dada yake nae mfupi kama Tausi.
Na huyo dada yake amezaa watoto wafupi tu.
Naona iko kwenye gene.

Sent using Jamii Forums mobile app
ila naona tausi yeye kapata mtoto wa kawaida ambae si mbilikimo
 
Nilisoma nae Tausi shule ya Msingi. Ana pacha wake ila yy sio msanii. Mkorofi Sana uyo tokea shuleni.
 
Back
Top Bottom