Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Siwezi kabisa babeNdio swali ambalo namie ningejiuliza baby , If none of my Heart is left to protest you Darling, je Khantwe anaanzaje kunisaliti?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siwezi kabisa babeNdio swali ambalo namie ningejiuliza baby , If none of my Heart is left to protest you Darling, je Khantwe anaanzaje kunisaliti?
Huyo dogo anashughuli yeyote au marioo tu?Mapenzi ya kweli bado yapo.
Aaww [emoji7][emoji7][emoji7] thanks babeNaelewa, unafanya ivo siku zote, ndio sababu njia zangu zimejaa kufanikiwa ... Niseme nn tena, zaidi ya kushukuru Mbingu kuniletea mwanamke mzuri kama wee??mwanamke ambaye ukiachilia mbali uzuri wa Sura , umbo zuri ambalo hunifanya muda wote nihitaji kua pemben mwako, Pumzi tamu kinywan inayochagizwa na harufu nzuri ya ngozi yako , bado bado Ni mwanamke unayepiga magoti na kusali.
You are welcome
Naamini Khantwe
Aisee kweli mm ningempiga kitu yangu huyo ingetokea mdomoni....Kuna watu hawana huruma kabisa
WahiAisee kweli mm ningempiga kitu yangu huyo ingetokea mdomoni....
Kuna watu wana mioyo migumu sanaMsanii mfupi Tanzania amepata mtoto. Mtoto amefanana na baba yake. Hongera kwake. Mungu amkuze mtoto 🙏🙏
Huyo dogo anashughuli yeyote au marioo tu?
Msanii mfupi Tanzania amepata mtoto. Mtoto amefanana na baba yake. Hongera kwake. Mungu amkuze mtoto [emoji120][emoji120]
ila naona tausi yeye kapata mtoto wa kawaida ambae si mbilikimoHuyo mwanaume pichani anaitwa Criss kwao Mwanza.
Ni kijana mdogo tu ama duka la nguo kariakoo Criss outfits.
Yupo poa tu kiuchumi.
Lakini inasemekana hajazaa na tausi ni kick tu ili ajulikane na duka lake liuze nguo.
By the way Tausi ana dada yake nae mfupi kama Tausi.
Na huyo dada yake amezaa watoto wafupi tu.
Naona iko kwenye gene.
Sent using Jamii Forums mobile app
ila naona tausi yeye kapata mtoto wa kawaida ambae si mbilikimo
Kweli kabisa.kwao wote wapo ivyo ivyo kuna mdogo wake kiume yupo chuo kikuu nae yupo ivyo ivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app