Msanii wa filamu Tausi Mdegella apata mtoto

Msanii wa filamu Tausi Mdegella apata mtoto

Tumpe hongera mwanaume mwenzetu aliyejitosa kukojolea ndani na kutuletea kiumbe kizuuri[emoji3]
Screenshot_20200214-091429.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmhhh Baby usipende sema Kauli Tata zinazotoa wakati mgumu ...
Hapana babe nilikuwa nae kabla sijakupata wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Sababu utafanya sasa ukirudi nisikurhusu usitoke wakat nmeshazoea kukuacha uende pekeako sababu you are big girl and I used to believe that you can go out mwenyewe and take care of yourself ,nkabaki kua tayari pale utakapoona nahitajika kuwepo !!
 
Huyo mwamba aliyezaa naye anaweza hata kuuwa mtu huku akitabasamu.....Ni jasiri sana aisee!!!
 
Mmhhh Baby usipende sema Kauli Tata zinazotoa wakati mgumu ... Sababu utafanya sasa ukirudi nisikurhusu usitoke wakat nmeshazoea kukuacha uende pekeako sababu you are big girl and I used to believe that you can go out mwenyewe and take care of yourself ,nkabaki kua tayari pale utakapoona nahitajika kuwepo !!
Niamini babe, naanzaje kukusaliti wewe na mahaba yote haya unayonipa? Kwanza huyo mwingine atakaa wapi na moyoni mwangu umejaa wewe tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoto hata wiki 3 hana, ushasema amefananana baba yake. Ww hiyo sura umeiona wapi? Au ndio unajipa uhakika huyo manzi hawezi kucheat?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsante mpenzi, nakuombea pia

Sent using Jamii Forums mobile app
Naelewa, unafanya ivo siku zote, ndio sababu njia zangu zimejaa kufanikiwa ... Niseme nn tena, zaidi ya kushukuru Mbingu kuniletea mwanamke mzuri kama wee??mwanamke ambaye ukiachilia mbali uzuri wa Sura , umbo zuri ambalo hunifanya muda wote nihitaji kua pemben mwako, Pumzi tamu kinywan inayochagizwa na harufu nzuri ya ngozi yako , bado bado Ni mwanamke unayepiga magoti na kusali.
 
Happy valentine day[emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom