Msanii wa kike avukwa na nguo akiwa jukwaani

Lakini yaweza kuwa ndiyo mshono(style). Dada zetu wana mambo mengi.
 
Lazima alijua hilo laweza kutokea, na ndio njia aliyotaka lazima azidi kufahamika...ngoja nikasake jina lake na kazi yake nami niangukie gemu yake 😀.
 
Huyo alikuwa anatafuta kiki na alipanga hivo
 
Tangu lini maziwa yakawa sehemu "nyeti" kwa Mwafrika? Kwa wazungu sawa lakini Waafrika mh...May be nyie wa huko Dar. Huku vijijini wanawake wananyonyesha mchana kweupe tena bila shida na makabila mengine matiti hayana dili kabisa yako nje nje tu hata kwa matineja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…