Msanii wa kike avukwa na nguo akiwa jukwaani

Msanii wa kike avukwa na nguo akiwa jukwaani

Gobo Waukweli

Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
16
Reaction score
11
Huyu ndiye msanii wa kike ambaye nguo zake zilimuanguka au mzuka wakati alipokuwa jukwaani nchini Nigeria.
1469897069749.jpg
 
Lakini yaweza kuwa ndiyo mshono(style). Dada zetu wana mambo mengi.
 
Lazima alijua hilo laweza kutokea, na ndio njia aliyotaka lazima azidi kufahamika...ngoja nikasake jina lake na kazi yake nami niangukie gemu yake 😀.
 
Tangu lini maziwa yakawa sehemu "nyeti" kwa Mwafrika? Kwa wazungu sawa lakini Waafrika mh...May be nyie wa huko Dar. Huku vijijini wanawake wananyonyesha mchana kweupe tena bila shida na makabila mengine matiti hayana dili kabisa yako nje nje tu hata kwa matineja.
 
Back
Top Bottom