Msanii wa kike avukwa na nguo akiwa jukwaani

Yanafaa sana mkuu kwani wewe unayaonaje ? Usikute kengeza langu ndio linanidanganya
Vifua vya haja ndio ugonjwa wangu aiseeee [emoji39] [emoji39] [emoji39]
Hapa nishaanza mchakato wa kufia kwenye kidonda[emoji12]
 
Vifua vya haja ndio ugonjwa wangu aiseeee [emoji39] [emoji39] [emoji39]
Hapa nishaanza mchakato wa kufia kwenye kidonda[emoji12]
Hahaha basi kwa sasa niko obsessed na vifua nadhani baada ya wiki mbili obsession itahamia kwenye kucha ,yaani acha tu
 
kinachonishangaza watu wanashindwa kutofautisha kati ya dini na utamaduni,waafrika mapaja,matiti,kitovu ni kitu cha kawaida tuu kuonekana ukizungumzia utamaduni hata ukiangalia makabila ambayo hayajastarabika wanavyovaa,au mavaz ya ngoma za asili nk,sasa still mtu anayevaa kuonesha mapaja au matiti tunamwambia kuwa sio utamaduni au maadili ya mwafrika.nadhani wangesema dini hairuhusu wangekuwa sawa.
 
Ni msanii wa nini? Maana siku hizi hata wezi wanaitwa wasanii.
 
Wewe una mtazamo wa kisheria. Mimi nina mtazamo wa kitamaduni. Tumetofautiana!
 
Huyu alitaka kuonyesha nyeti zake za juu hadharani maana hiyo nguo yake hmmmmm! halafu hata bra hakutaka kutupia si ajabu hapo hata picchu aliamua kuiacha home.
Sio kila vazi linavaliwa ma bra dogo,ukioa utayajua haya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…