UncleBen
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 9,673
- 12,265
Yanafaa sana mkuu kwani wewe unayaonaje ? Usikute kengeza langu ndio linanidanganyaKumbe yanafaa kwa matumizi ya binadam [emoji39]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanafaa sana mkuu kwani wewe unayaonaje ? Usikute kengeza langu ndio linanidanganyaKumbe yanafaa kwa matumizi ya binadam [emoji39]
Vifua vya haja ndio ugonjwa wangu aiseeee [emoji39] [emoji39] [emoji39]Yanafaa sana mkuu kwani wewe unayaonaje ? Usikute kengeza langu ndio linanidanganya
Hahaha basi kwa sasa niko obsessed na vifua nadhani baada ya wiki mbili obsession itahamia kwenye kucha ,yaani acha tuVifua vya haja ndio ugonjwa wangu aiseeee [emoji39] [emoji39] [emoji39]
Hapa nishaanza mchakato wa kufia kwenye kidonda[emoji12]
kinachonishangaza watu wanashindwa kutofautisha kati ya dini na utamaduni,waafrika mapaja,matiti,kitovu ni kitu cha kawaida tuu kuonekana ukizungumzia utamaduni hata ukiangalia makabila ambayo hayajastarabika wanavyovaa,au mavaz ya ngoma za asili nk,sasa still mtu anayevaa kuonesha mapaja au matiti tunamwambia kuwa sio utamaduni au maadili ya mwafrika.nadhani wangesema dini hairuhusu wangekuwa sawa.Tangu lini maziwa yakawa sehemu "nyeti" kwa Mwafrika? Kwa wazungu sawa lakini Waafrika mh...May be nyie wa huko Dar. Huku vijijini wanawake wananyonyesha mchana kweupe tena bila shida na makabila mengine matiti hayana dili kabisa yako nje nje tu hata kwa matineja.
Wewe una mtazamo wa kisheria. Mimi nina mtazamo wa kitamaduni. Tumetofautiana!Hayo unayoyaona yanazagaa yakichezewa kunyonywa, wewe jaribu kaliguse hadharani uone cha moto. Utashitakiwa kwa kushika nyeti za mwanamke bila ridhaa yake. Mbona nyeti za mwanamke no karibu mwili mzima, kasoro kichwa Shingo mikono na makanyagio.
Lkn anzia goti kupanda juu, hadi shngo kila kiungo pale ni eneo nyeti kwa mwanamke.
Sio kila vazi linavaliwa ma bra dogo,ukioa utayajua haya.Huyu alitaka kuonyesha nyeti zake za juu hadharani maana hiyo nguo yake hmmmmm! halafu hata bra hakutaka kutupia si ajabu hapo hata picchu aliamua kuiacha home.
Sio kila vazi linavaliwa ma bra dogo,ukioa utayajua haya.
HahahahaHii picha walah imenifanya nimepaliwa na gahawa.....doh!!! Vijana wanafaidi sana....
Hapana ila sikubahatika kupata picha kamiliInamaana maziwa ni nyeti nayo?
Hapa ilikuwa badoSijaelewa hapo imeanguka ama bado?
HahahaHiyo ni style yake
Hata mimi nashangaa maana kama huko ndio kuanguka; basi nusu ya wadada mijini wanatembea huku nguo zao zinaburuzia chiniSijaelewa hapo imeanguka ama bado?
[emoji16] [emoji16] [emoji16]Hata mimi nashangaa maana kama huko ndio kuanguka; basi nusu ya wadada mijini wanatembea huku nguo zao zinaburuzia chini