Msanii wa kimataifa Alikiba azindua rasmi Television yake "ALIKIBATV"

Hongera mzee wa masautiiiii unajuaga aisee si kwa sauti hiyo aly k
 
Shardcore ulituaminisha kuwa tu jiandae kisaikolojia kuwa kiba mwaka huu MTV atakuwemo mbona simuoni kaka
 
Ametisha sana...

Ila meneja wake wafanye kazi, msanii anatoa hit songs za kutosha kwanini hawamtafutii shows? Mapato ya msanii kwa kiasi kikubwa yanatokana na shows, wanategemea awe bilionea kivipi?
Sio show tu hata nyimbo sioni kama wanazipush inavyotakiwa
 
We sio mtoa taarifa !! N mkereketwa!!..sasa mwenye mtoto wa kuchorwa naeno ya dhahab nan kama c hila hyo!! Amshukuru anaemkimbiza had akili imemkaa sawa maanq alishalalq had tukaanza kumsahau ....alivokuja Moto/mnyama!!..naayy akaznduka alikolala!!
 
njema ,nimekumiss sana snowhite umepotelea wapi ?
niiiiipo mae!
kazi tu za hawa wakoloni zinanimaliza wowowo langu!
chaaaa!
uko poa lakini?
I hope uko mzima kila kitu on track except for mambo ya kawaida ya kila siku na maisha ,ryt?
so Tumshukuru Mungu mwaya.
 
Vp TV ya alikiba inaparikana king'amuz kipi tuitafute? Dstv ipo? 🙄🙄🙄
Nadhani sasa tushatambua nini kinafanyika...
•kuna waongeaji na watekelezaji....
•kuna mziki sauti na mziki biashara...
•kuna talented kama Lionel Messi na real
hustler mithili ya kina
Cristiano Ronaldo....
•kuna wabwetekaji na wapambanaji...
•kuna wanaoyatafuta mafanikio na
wanaolazimisha kufanikiwa....
•uchambuzi bado ni mrefu unaeza ongeza
na chako...
•na kadhalika.... na kadhalika... na kadhalika...
 
Mkuu upo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…