Msanii wa kimataifa Alikiba azindua rasmi Television yake "ALIKIBATV"

Hongera Alikiba nimefarijika na pia nakupongeza sana kwa hichi ulichotuletea
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ipo king'amuz gan Mkuu?
 
Mkuu mbona hako kahela kadogo sana anaweza hata akamfungulia na wemasepetu, abdu kiba, petiti man kila mtu TV yake, King Kiba ni bilionea wa kutupwa basi tu hapendi kujionesha alshabab wakazivamia kariakoo...
Bilionea anaeishi kwa wazazi au ndo masharti ya mganga [emoji28]
 
Kwny mtv labda kwny category ya best upcoming artist
 
Kiba hajitambui yule. Sasa sijui ni ushamba. Au sijui ni kukosa elimu. Hapo sielewi.
 
Naendelea na matengenezo soon TodaysTV inakuja..!![emoji3]
 
ACha uvivu wakufikiri ww, wenzake nani? Na iyo 20mil per show ni abdu kiba au
 
Hizo ulizozutaja ni online tv, Huwez kuipata dstv au azam, ila hii ya kiba sio Online tv, ni tv kama Cloudz tv, East Africa tv, itv, mtv etc
Naona mawazo ya fasta fasta baada ya kuvuta mpunga wa Sony! watu hawatakuja kutizama jina la tv! ila yaliyomo, kama E FM kwenye radio, ikija chini ya kiwango kama Clouds tv, im sorry....!
 
Nimepita sehemu nakasikia eti Ali Kiba anaanzisha Tv yake na watu mishipa ikawasimama wakidhani Tv yenyewe itakuwa kama East Africa Tv ama clouds Tv, ukweli ni kwamba Tv ya alikiba haitakuwa tofauti sana na Ayo tv isipokuwa ali atakuwa na uwezo wa kuuza program zake kwenye vituo mbali mbali vya Tv ambapo atakuwa anapewa dakika kadhaa (60mins or less).

Watu bila ya kufikiria wakaingia mitandaoni na kuanza kuandika habari ambazo hazina ukweli wowote. Kuanzisha tv sio jambo la kitoto mjue. okay msisahau kutembelea Tv yangu kama uko instagram andika #mckonjeTv utanipata laivu bila mchele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…