Msanii wa kimataifa Alikiba azindua rasmi Television yake "ALIKIBATV"

Msanii wa kimataifa Alikiba azindua rasmi Television yake "ALIKIBATV"

Hongera Alikiba nimefarijika na pia nakupongeza sana kwa hichi ulichotuletea
 
Mkuu mbona hako kahela kadogo sana anaweza hata akamfungulia na wemasepetu, abdu kiba, petiti man kila mtu TV yake, King Kiba ni bilionea wa kutupwa basi tu hapendi kujionesha alshabab wakazivamia kariakoo...
Bilionea anaeishi kwa wazazi au ndo masharti ya mganga [emoji28]
 
Koroga festival show alopiga kiba ilikuwa ni tukio la 3 kihistoria kenya mwaka jana kwa kujaza watu, tukio la kwanza ilikuwa ni ujio wa Obama na tukio la 2 kwa kujaza watu ni ujio wa papa. inasemekana kiba aliingiza pesa nyingi sana, show imemfunguliwa milango mingi, ikiwemo deal la sony, pia jiandae kisaikolojia mwaka huu tuzo za mtv king ndan ya nyumba.

Nisimalize uhondo wote, habar zote utakuwa unazipata live kupitia Alikibatv, uwiiiiii
Kwny mtv labda kwny category ya best upcoming artist
 
Kiba hajitambui yule. Sasa sijui ni ushamba. Au sijui ni kukosa elimu. Hapo sielewi.
 
Naendelea na matengenezo soon TodaysTV inakuja..!![emoji3]
 
Alikiba anatoza dau kubwa ndiomana show zake nyingi anapigia kenya, za bongo nyingi dau dogo, ndiomana mwaka jana kwa mujibu wa utafiti wa msetoa tv Alikuwa ni msanii wa 3 kwa kuingiza pesa nyingi East africa kupitia show, Alifanya show chache lakin za mpunga mrefu mfano show kwenye uzinduz wa safaricom kenya, koroga festival etc, Pia mwaka jana kaamua kuja na mpango wake kuwa anaandaa show mwenyewe ili maximize profit mfano show ya "funga mwaka na kingkiba, pia mwaka huu vile vile atakuwa anasimamia show zake mwenyewe, tofaut na yule mwenzake anayeitwa na mapromota kwa tu million 20 per show.
ACha uvivu wakufikiri ww, wenzake nani? Na iyo 20mil per show ni abdu kiba au
 
Hizo ulizozutaja ni online tv, Huwez kuipata dstv au azam, ila hii ya kiba sio Online tv, ni tv kama Cloudz tv, East Africa tv, itv, mtv etc
Naona mawazo ya fasta fasta baada ya kuvuta mpunga wa Sony! watu hawatakuja kutizama jina la tv! ila yaliyomo, kama E FM kwenye radio, ikija chini ya kiwango kama Clouds tv, im sorry....!
 
Nimepita sehemu nakasikia eti Ali Kiba anaanzisha Tv yake na watu mishipa ikawasimama wakidhani Tv yenyewe itakuwa kama East Africa Tv ama clouds Tv, ukweli ni kwamba Tv ya alikiba haitakuwa tofauti sana na Ayo tv isipokuwa ali atakuwa na uwezo wa kuuza program zake kwenye vituo mbali mbali vya Tv ambapo atakuwa anapewa dakika kadhaa (60mins or less).

Watu bila ya kufikiria wakaingia mitandaoni na kuanza kuandika habari ambazo hazina ukweli wowote. Kuanzisha tv sio jambo la kitoto mjue. okay msisahau kutembelea Tv yangu kama uko instagram andika #mckonjeTv utanipata laivu bila mchele
 
Back
Top Bottom