GE2025 Msanii wa Vichekesho, Ramso atekwa na 'watu wasiojulikana'. Aliposti video akimtaka Samia ajiuzulu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Luca Paguro

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2023
Posts
502
Reaction score
1,141
Kuna kijana anaitwa Ramso, alipost hii video Tiktok, alikuwa anaomba Samia ajiuzulu atuachie nchi

Huyu ni kijana mdogo tu alikuwa anatoa maoni yake ya kisiasa kuhusu utendaji kazi mbovu wa Rais Samia

Lakini leo tarehe 8 October kuna video hii inasambaa kuwa kijana anatafutwa, haonekani alipo

Hata rafiki yake ameficha sura yake, na yeye anaogopa kutekwa. Dah, nifanye nihamie Kenya tu 😥
 
Mtu aliye radhi tuuliwe ili wanae na familia yake waendelee kutamba mjini na ma G wagon hatufai ata kidogo mama gani sasa uyo lbd mama yenu mm sio mama yng ht kdg
FB_IMG_1759949181721.jpg
 
Kuna kijana anaitwa Ramso, alipost hii video Tiktok, alikuwa anaomba Samia ajiuzulu atuachie nchi
View attachment 3485772
Huyu ni kijana mdogo tu alikuwa anatoa maoni yake ya kisiasa kuhusu utendaji kazi mbovu wa Rais Samia

Lakini leo tarehe 8 October kuna video hii inasambaa kuwa kijana anatafutwa, haonekani alipo
View attachment 3485773
Hata rafiki yake ameficha sura yake, na yeye anaogopa kutekwa. Dah, nifanye nihamie Kenya tu 😥
Mnatafuta chokochoko kwa makusudi tu mkitiwa ndani mnakuja kulia humu, taifa gani utaacha watu watukane hovyo si tutakuwa wendazimu. Halafu huyu kwa nyusi hizo hata group la wanaume ame left. muwe na adabu uhuru wa kuongea una mipaka.
 
Vijana badala ya kupana na changamoto za maisha wanaanza kutukana

Naam! Uhuru wa kuongea una mipaka!
 
Ila mahali nchi imefikia sio sawa hata kidogo.

Sikuwahi kufikiri kama kuna kipindi nchi itafikia wakati wa cultural revolution.
 
Shetani hana fadhila. Utaukumbuka huu muda unaotumia kumpigania.
Ubaya katiba ya Tanzania ni mbaya kupitiliza kiasi kwamba akija Rais mwingine baada ya Samia kuondoshwa akiitumia hii katiba kuna watu watalia na kusaga meno kuanzia ndani ya chama mpaka nje ya chama,kuanzia wao na familia zao.

Na ubaya Samia kuongeza chuki ndani ya chama wataanza kudeal na yeye mwenyewe Rais wa Tanzania ana nguvu kiasi kwamba Rais mstaafu ni uchafu tu mbele yake.

Hata polepole sina hakika kama aliwaza kuna siku atashughulikiwa na mazimwi waliyo yafuga.
 
Mnatafuta chokochoko kwa makusudi tu mkitiwa ndani mnakuja kulia humu, taifa gani utaacha watu watukane hovyo si tutakuwa wendazimu. Halafu huyu kwa nyusi hizo hata group la wanaume ame left. muwe na adabu uhuru wa kuongea una mipaka.
Tusi liko wapi kwenye hiyo crip? Tunatengeneza taifa la ndiyo Mzee. Na mtu kama katukana zipo taratibu na sheria za kumchukulia sio kuteka. Ukisema kila mtu anayekusema unamteka na kumpoteza, utapoteza wangapi?
 
Na utafunga wangapi?
 
Kuna kijana anaitwa Ramso, alipost hii video Tiktok, alikuwa anaomba Samia ajiuzulu atuachie nchi
View attachment 3485772
Huyu ni kijana mdogo tu alikuwa anatoa maoni yake ya kisiasa kuhusu utendaji kazi mbovu wa Rais Samia

Lakini leo tarehe 8 October kuna video hii inasambaa kuwa kijana anatafutwa, haonekani alipo
View attachment 3485773
Hata rafiki yake ameficha sura yake, na yeye anaogopa kutekwa. Dah, nifanye nihamie Kenya tu 😥
Anastahili kupata alichopata. Ni mpuuzi sana huyu kijana. Ni hasara kwa Taifa kuwa na vijana wapuuzi wa kiwango hiki.
 
Kuna kijana anaitwa Ramso, alipost hii video Tiktok, alikuwa anaomba Samia ajiuzulu atuachie nchi
View attachment 3485772
Huyu ni kijana mdogo tu alikuwa anatoa maoni yake ya kisiasa kuhusu utendaji kazi mbovu wa Rais Samia

Lakini leo tarehe 8 October kuna video hii inasambaa kuwa kijana anatafutwa, haonekani alipo
View attachment 3485773
Hata rafiki yake ameficha sura yake, na yeye anaogopa kutekwa. Dah, nifanye nihamie Kenya tu 😥
Siyo Demokrasia tu, ni kua Serikali ambayo iko WEAK, na wakitokea watu wenye siasa kali na zana wanaweza wakaiondoa mara moja. Weakness kubwa sana. Weakness yao ndiyo inafanya wawe na njia moja tu, kuua. Ni rahisi kwa raia kuungana na magaidi ikiwa hawa magaidi wana ushawishi mzuri, kama yule Strategist Kagame, anasoma tu.
 
Back
Top Bottom