GE2025 Msanii wa Vichekesho, Ramso atekwa na 'watu wasiojulikana'. Aliposti video akimtaka Samia ajiuzulu

GE2025 Msanii wa Vichekesho, Ramso atekwa na 'watu wasiojulikana'. Aliposti video akimtaka Samia ajiuzulu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kuna kijana anaitwa Ramso, alipost hii video Tiktok, alikuwa anaomba Samia ajiuzulu atuachie nchi
View attachment 3485772
Huyu ni kijana mdogo tu alikuwa anatoa maoni yake ya kisiasa kuhusu utendaji kazi mbovu wa Rais Samia

Lakini leo tarehe 8 October kuna video hii inasambaa kuwa kijana anatafutwa, haonekani alipo
View attachment 3485773
Hata rafiki yake ameficha sura yake, na yeye anaogopa kutekwa. Dah, nifanye nihamie Kenya tu 😥
Maskini. ! Maoni yake yamemponza😭😭😭😭
 
Mnatafuta chokochoko kwa makusudi tu mkitiwa ndani mnakuja kulia humu, taifa gani utaacha watu watukane hovyo si tutakuwa wendazimu. Halafu huyu kwa nyusi hizo hata group la wanaume ame left. muwe na adabu uhuru wa kuongea una mipaka.
Ila Watanzania bhana, kwa hiyo hapo huyo jamaa umeona wapi akitukana? Yeye kasema ukweli tu kuwa hajaridhishwa na uongozi wa Samia so anamwomba Samia ajiuzulu
Na hata kama angekuwa ametukana serikali, niulize tu; hii nchi haina sheria dhidi ya watu wanaotukana? Au sheria yake ndio kumteka? Tanzania sio kisiwa cha amani kama inavyosemekana. Kwa hali hii hata Marekani imetuzidi kwa amani
 
Mimi nilikamatwa 2017 nimekaa lockup 7 days na gerezani one month .

What I need to say watz ni wapumbavu Sana mwaka 2017 nimepitia changamoto Ila wapinzani hawakunipa sapoti yoyote .

Barikiwa Sana Jaji ambaye ulifuta kesi yangu.

Ila guyz usije uka risk maisha yako kwa kuwapambania wabongo
 
Kuna kijana anaitwa Ramso, alipost hii video Tiktok, alikuwa anaomba Samia ajiuzulu atuachie nchi
View attachment 3485772
Huyu ni kijana mdogo tu alikuwa anatoa maoni yake ya kisiasa kuhusu utendaji kazi mbovu wa Rais Samia

Lakini leo tarehe 8 October kuna video hii inasambaa kuwa kijana anatafutwa, haonekani alipo
View attachment 3485773
Hata rafiki yake ameficha sura yake, na yeye anaogopa kutekwa. Dah, nifanye nihamie Kenya tu
 
Shetani hana fadhila. Utaukumbuka huu muda unaotumia kumpigania.
Mkuu kweli nakubaliana na usemi huo ila hizi zingine hata hazina lolote huko kwa wakuu ni kuziangalia tu na ushabiki wao.
 
Vijana badala ya kupana na changamoto za maisha wanaanza kutukana

Naam! Uhuru wa kuongea una mipaka!
Sawa uhuru una mipaka, mtu akiivuka hiyo mipaka nini kinapaswa kufanywa? Sheria kuchukua mkondo wake ama ndugu kulalamika ndugu zao hawaonekani?
 
Mtu aliye radhi tuuliwe ili wanae na familia yake waendelee kutamba mjini na ma G wagon hatufai ata kidogo mama gani sasa uyo lbd mama yenu mm sio mama yng ht kdg
First African female dictator. Mama katili huyu sijawahi ona. Halafu ni Muislamu kabisa, yani dini yao inahamasisha upendo na ina sheria kali dhidi ya watu wasiofuata maagizo ya Mungu ila Samia kaamua kuipuuza.

Ni kama hana hofu ya Mungu tena, au ameacha kuamini habari za dini. Kakosa utu kabisa na hana maadili ya Kizanzibari. Mama muuaji huyu na watu wengine wanaomsapoti, hii miaka michungu siwezi kuisahau kwenye maisha yangu. Yani sijui kama tutafanikiwa kumtoa huyu mama
 
Ila Watanzania bhana, kwa hiyo hapo huyo jamaa umeona wapi akitukana? Yeye kasema ukweli tu kuwa hajaridhishwa na uongozi wa Samia so anamwomba Samia ajiuzulu
Na hata kama angekuwa ametukana serikali, niulize tu; hii nchi haina sheria dhidi ya watu wanaotukana? Au sheria yake ndio kumteka? Tanzania sio kisiwa cha amani kama inavyosemekana. Kwa hali hii hata Marekani imetuzidi kwa amani
Baadae atakwambia 'kazi na utu'.
 
Bora ufunge wengi kwa haki kulikoni kupoteza wengi. Uhai hauna replacement. Wewe hapo umeweza kuchat hivi kwa sababu unepewa uhai. Hatuwezi kuwa na jamii yenye mtizamo mmoja na kama ikitokea hivyo basi tumekwisha
Mbona unamuuwa kabla, kapotea sio amekufa sio kila aliyepotea amekufa, haraka ya nini kuhukumu.
 
Mimi nilikamatwa 2017 nimekaa lockup 7 days na gerezani one month .

What I need to say watz ni wapumbavu Sana mwaka 2017 nimepitia changamoto Ila wapinzani hawakunipa sapoti yoyote .

Barikiwa Sana Jaji ambaye ulifuta kesi yangu.

Ila guyz usije uka risk maisha yako kwa kuwapambania wabongo
Acha uongo leta Ushaidi hapa wa kutekwa zaidi ya kuja kujaza watu Uoga kwanza Jaji hawezi kufuta kesi bila PP wilaya au DPP
 
Mnatafuta chokochoko kwa makusudi tu mkitiwa ndani mnakuja kulia humu, taifa gani utaacha watu watukane hovyo si tutakuwa wendazimu. Halafu huyu kwa nyusi hizo hata group la wanaume ame left. muwe na adabu uhuru wa kuongea una mipaka.
Kwa hiyo alivyoongea na kushauri ametukana?
Na kupotezwa ndio kuwekwa ndani?
Utaratibu wa kisheria, anayevunja sheria akamatwe, ashitakiwe na kuhukumiwa. Tuipende kwa dhati nchi yetu
 
Mdomo umemponza kwani angenyamaza yangemkuta?
 
Back
Top Bottom