Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 17,518
- 20,492
Mama anateka hadi sisimizi? Ni aibu sana hii!Kuna kijana anaitwa Ramso, alipost hii video Tiktok, alikuwa anaomba Samia ajiuzulu atuachie nchi
View attachment 3485772
Huyu ni kijana mdogo tu alikuwa anatoa maoni yake ya kisiasa kuhusu utendaji kazi mbovu wa Rais Samia
Lakini leo tarehe 8 October kuna video hii inasambaa kuwa kijana anatafutwa, haonekani alipo
View attachment 3485773
Hata rafiki yake ameficha sura yake, na yeye anaogopa kutekwa. Dah, nifanye nihamie Kenya tu 😥