Luca Paguro
JF-Expert Member
- Mar 26, 2023
- 502
- 1,141
Kwa hiyo ni sawa kutekwa?Kamdomo
Mtu aliye radhi tuuliwe ili wanae na familia yake waendelee kutamba mjini na ma G wagon hatufai ata kidogo mama gani sasa uyo lbd mama yenu mm sio mama yng ht kdg
Nani ametekwa?Kwa hiyo ni sawa kutekwa?
Mnatafuta chokochoko kwa makusudi tu mkitiwa ndani mnakuja kulia humu, taifa gani utaacha watu watukane hovyo si tutakuwa wendazimu. Halafu huyu kwa nyusi hizo hata group la wanaume ame left. muwe na adabu uhuru wa kuongea una mipaka.Kuna kijana anaitwa Ramso, alipost hii video Tiktok, alikuwa anaomba Samia ajiuzulu atuachie nchi
View attachment 3485772
Huyu ni kijana mdogo tu alikuwa anatoa maoni yake ya kisiasa kuhusu utendaji kazi mbovu wa Rais Samia
Lakini leo tarehe 8 October kuna video hii inasambaa kuwa kijana anatafutwa, haonekani alipo
View attachment 3485773
Hata rafiki yake ameficha sura yake, na yeye anaogopa kutekwa. Dah, nifanye nihamie Kenya tu π₯
Vijana badala ya kupana na changamoto za maisha wanaanza kutukanaMnatafuta chokochoko kwa makusudi tu mkitiwa ndani mnakuja kulia humu, taifa gani utaacha watu watukane hovyo si tutakuwa wendazimu. Halafu huyu kwa nyusi hizo hata group la wanaume ame left. muwe na adabu uhuru wa kuongea una mipaka.
Shetani hana fadhila. Utaukumbuka huu muda unaotumia kumpigania.Kamdomo
Ubaya katiba ya Tanzania ni mbaya kupitiliza kiasi kwamba akija Rais mwingine baada ya Samia kuondoshwa akiitumia hii katiba kuna watu watalia na kusaga meno kuanzia ndani ya chama mpaka nje ya chama,kuanzia wao na familia zao.Shetani hana fadhila. Utaukumbuka huu muda unaotumia kumpigania.
Uhuru wa kuongea una mipaka!Shetani hana fadhila. Utaukumbuka huu muda unaotumia kumpigania.
Tusi liko wapi kwenye hiyo crip? Tunatengeneza taifa la ndiyo Mzee. Na mtu kama katukana zipo taratibu na sheria za kumchukulia sio kuteka. Ukisema kila mtu anayekusema unamteka na kumpoteza, utapoteza wangapi?Mnatafuta chokochoko kwa makusudi tu mkitiwa ndani mnakuja kulia humu, taifa gani utaacha watu watukane hovyo si tutakuwa wendazimu. Halafu huyu kwa nyusi hizo hata group la wanaume ame left. muwe na adabu uhuru wa kuongea una mipaka.
Na utafunga wangapi?Tusi liko wapi kwenye hiyo crip? Tunatengeneza taifa la ndiyo Mzee. Na mtu kama katukana zipo taratibu na sheria za kumchukulia sio kuteka. Ukisema kila mtu anayekusema unamteka na kumpoteza, utapoteza wangapi?
Bora ufunge wengi kwa haki kulikoni kupoteza wengi. Uhai hauna replacement. Wewe hapo umeweza kuchat hivi kwa sababu unepewa uhai. Hatuwezi kuwa na jamii yenye mtizamo mmoja na kama ikitokea hivyo basi tumekwishaNa utafunga wangapi?
Anastahili kupata alichopata. Ni mpuuzi sana huyu kijana. Ni hasara kwa Taifa kuwa na vijana wapuuzi wa kiwango hiki.Kuna kijana anaitwa Ramso, alipost hii video Tiktok, alikuwa anaomba Samia ajiuzulu atuachie nchi
View attachment 3485772
Huyu ni kijana mdogo tu alikuwa anatoa maoni yake ya kisiasa kuhusu utendaji kazi mbovu wa Rais Samia
Lakini leo tarehe 8 October kuna video hii inasambaa kuwa kijana anatafutwa, haonekani alipo
View attachment 3485773
Hata rafiki yake ameficha sura yake, na yeye anaogopa kutekwa. Dah, nifanye nihamie Kenya tu π₯
π π πAnastahili kupata alichopata. Ni mpuuzi sana huyu kijana. Ni hasara kwa Taifa kuwa na vijana wapuuzi wa kiwango hiki.
Siyo Demokrasia tu, ni kua Serikali ambayo iko WEAK, na wakitokea watu wenye siasa kali na zana wanaweza wakaiondoa mara moja. Weakness kubwa sana. Weakness yao ndiyo inafanya wawe na njia moja tu, kuua. Ni rahisi kwa raia kuungana na magaidi ikiwa hawa magaidi wana ushawishi mzuri, kama yule Strategist Kagame, anasoma tu.Kuna kijana anaitwa Ramso, alipost hii video Tiktok, alikuwa anaomba Samia ajiuzulu atuachie nchi
View attachment 3485772
Huyu ni kijana mdogo tu alikuwa anatoa maoni yake ya kisiasa kuhusu utendaji kazi mbovu wa Rais Samia
Lakini leo tarehe 8 October kuna video hii inasambaa kuwa kijana anatafutwa, haonekani alipo
View attachment 3485773
Hata rafiki yake ameficha sura yake, na yeye anaogopa kutekwa. Dah, nifanye nihamie Kenya tu π₯