Maskini. ! Maoni yake yamemponzaššššKuna kijana anaitwa Ramso, alipost hii video Tiktok, alikuwa anaomba Samia ajiuzulu atuachie nchi
View attachment 3485772
Huyu ni kijana mdogo tu alikuwa anatoa maoni yake ya kisiasa kuhusu utendaji kazi mbovu wa Rais Samia
Lakini leo tarehe 8 October kuna video hii inasambaa kuwa kijana anatafutwa, haonekani alipo
View attachment 3485773
Hata rafiki yake ameficha sura yake, na yeye anaogopa kutekwa. Dah, nifanye nihamie Kenya tu š„
Mbaya zaidi kuna Watanzania wanafurahia kutekwa kwake. Tuna safari ndefu sana kama taifaMaskini. ! Maoni yake yamemponzašššš
Ila Watanzania bhana, kwa hiyo hapo huyo jamaa umeona wapi akitukana? Yeye kasema ukweli tu kuwa hajaridhishwa na uongozi wa Samia so anamwomba Samia ajiuzuluMnatafuta chokochoko kwa makusudi tu mkitiwa ndani mnakuja kulia humu, taifa gani utaacha watu watukane hovyo si tutakuwa wendazimu. Halafu huyu kwa nyusi hizo hata group la wanaume ame left. muwe na adabu uhuru wa kuongea una mipaka.
Kuna kijana anaitwa Ramso, alipost hii video Tiktok, alikuwa anaomba Samia ajiuzulu atuachie nchi
View attachment 3485772
Huyu ni kijana mdogo tu alikuwa anatoa maoni yake ya kisiasa kuhusu utendaji kazi mbovu wa Rais Samia
Lakini leo tarehe 8 October kuna video hii inasambaa kuwa kijana anatafutwa, haonekani alipo
View attachment 3485773
Hata rafiki yake ameficha sura yake, na yeye anaogopa kutekwa. Dah, nifanye nihamie Kenya tu
Mkuu kweli nakubaliana na usemi huo ila hizi zingine hata hazina lolote huko kwa wakuu ni kuziangalia tu na ushabiki wao.Shetani hana fadhila. Utaukumbuka huu muda unaotumia kumpigania.
Sawa uhuru una mipaka, mtu akiivuka hiyo mipaka nini kinapaswa kufanywa? Sheria kuchukua mkondo wake ama ndugu kulalamika ndugu zao hawaonekani?Vijana badala ya kupana na changamoto za maisha wanaanza kutukana
Naam! Uhuru wa kuongea una mipaka!
First African female dictator. Mama katili huyu sijawahi ona. Halafu ni Muislamu kabisa, yani dini yao inahamasisha upendo na ina sheria kali dhidi ya watu wasiofuata maagizo ya Mungu ila Samia kaamua kuipuuza.Mtu aliye radhi tuuliwe ili wanae na familia yake waendelee kutamba mjini na ma G wagon hatufai ata kidogo mama gani sasa uyo lbd mama yenu mm sio mama yng ht kdg
Baadae atakwambia 'kazi na utu'.Ila Watanzania bhana, kwa hiyo hapo huyo jamaa umeona wapi akitukana? Yeye kasema ukweli tu kuwa hajaridhishwa na uongozi wa Samia so anamwomba Samia ajiuzulu
Na hata kama angekuwa ametukana serikali, niulize tu; hii nchi haina sheria dhidi ya watu wanaotukana? Au sheria yake ndio kumteka? Tanzania sio kisiwa cha amani kama inavyosemekana. Kwa hali hii hata Marekani imetuzidi kwa amani
Mbona unamuuwa kabla, kapotea sio amekufa sio kila aliyepotea amekufa, haraka ya nini kuhukumu.Bora ufunge wengi kwa haki kulikoni kupoteza wengi. Uhai hauna replacement. Wewe hapo umeweza kuchat hivi kwa sababu unepewa uhai. Hatuwezi kuwa na jamii yenye mtizamo mmoja na kama ikitokea hivyo basi tumekwisha
kutukana ndo anatakiwa atekwe na Mahakama zitafanya kazi gani sasaVijana badala ya kupana na changamoto za maisha wanaanza kutukana
Naam! Uhuru wa kuongea una mipaka!
Acha uongo leta Ushaidi hapa wa kutekwa zaidi ya kuja kujaza watu Uoga kwanza Jaji hawezi kufuta kesi bila PP wilaya au DPPMimi nilikamatwa 2017 nimekaa lockup 7 days na gerezani one month .
What I need to say watz ni wapumbavu Sana mwaka 2017 nimepitia changamoto Ila wapinzani hawakunipa sapoti yoyote .
Barikiwa Sana Jaji ambaye ulifuta kesi yangu.
Ila guyz usije uka risk maisha yako kwa kuwapambania wabongo
Neno kutiwa nguvuni na polisi limebadilika na sasa limekuwa ni ametekwa.Vijana badala ya kupana na changamoto za maisha wanaanza kutukana
Naam! Uhuru wa kuongea una mipaka!
Kwa hiyo alivyoongea na kushauri ametukana?Mnatafuta chokochoko kwa makusudi tu mkitiwa ndani mnakuja kulia humu, taifa gani utaacha watu watukane hovyo si tutakuwa wendazimu. Halafu huyu kwa nyusi hizo hata group la wanaume ame left. muwe na adabu uhuru wa kuongea una mipaka.
Tuondolee uharo wako mkuu.Mdomo umemponza kwani angenyamaza yangemkuta?
Stupid of you! Stupid!Kamdomo