GE2025 Msanii wa Vichekesho, Ramso atekwa na 'watu wasiojulikana'. Aliposti video akimtaka Samia ajiuzulu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Lucas Mwashambwa
Tlaatlaah
 
Mnatafuta chokochoko kwa makusudi tu mkitiwa ndani mnakuja kulia humu, taifa gani utaacha watu watukane hovyo si tutakuwa wendazimu. Halafu huyu kwa nyusi hizo hata group la wanaume ame left. muwe na adabu uhuru wa kuongea una mipaka.
Bongo kuna majinga kama hili bado yanaishi Stone Age, na Samia sio mungu asikosolewe,*****
 
Mnatafuta chokochoko kwa makusudi tu mkitiwa ndani mnakuja kulia humu, taifa gani utaacha watu watukane hovyo si tutakuwa wendazimu. Halafu huyu kwa nyusi hizo hata group la wanaume ame left. muwe na adabu uhuru wa kuongea una mipaka.
Kwani huyo katukana tusi gani Mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…