GE2025 Msanii wa Vichekesho, Ramso atekwa na 'watu wasiojulikana'. Aliposti video akimtaka Samia ajiuzulu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mama anateka hadi sisimizi? Ni aibu sana hii!
 
Mnatafuta chokochoko kwa makusudi tu mkitiwa ndani mnakuja kulia humu, taifa gani utaacha watu watukane hovyo si tutakuwa wendazimu. Halafu huyu kwa nyusi hizo hata group la wanaume ame left. muwe na adabu uhuru wa kuongea una mipaka.
Kwaiyo mtu kusema hatakiwi ni kosa?
 
Kwaiyo mtu kusema hatakiwi ni kosa?
Hutaki usipige kura lakini usitangaze kuzuia wanaotaka. Wewe humtaki mtu sema sipigi kura na simpigii yameisha, sio kutukana kiongozi. Kwani mtu akiwa hakutaki lazima utukane, hata sisi tunakataliwa lakini kistaarabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…