Msanii wako bora wa mwaka 2021 kwenye Bongo Flavour

Msanii wako bora wa mwaka 2021 kwenye Bongo Flavour

Pumzi

Jimmy chansa ft young lunya.

Jimmy my favourite upcoming artist sema hayuko serious sana na mziki.
 
Harmonize muweke pembeni kaimba anapiano,diamond pia,marioo naye kaimba amapiano,mtoe rayvvan naye kaiga midundo ya south.Nambakisha alikiba na kayumba,kiba ametoa ngoma nyingi mwaka huu lakini kwangu wimbo mkali mmoja tu jealous ila upande wa kayumba katoa hit song back to back kuanzia mama hadi bomba.KWANGU MIMI MSANII BORA WA MWAKA 2021 NI KAYUMBA sema ndio vile tumeshakaririshwa wasanii tanzania ni alikiba,diamond na harmonize!!
 
Dizasta Vina, mwaka jana alitu bless na album yake "The Verteller" aiseee it's a masterpiece! That nigga can tell stories... Hakuna ngoma unaweza kuiruka mle,
1. Money
2. A Confession of a mad man
3. Hatia 4
4. A Confession of a mad philosopher
5. Yule yule
6. Muscular feminist
 
mkuu usichanganhe mambo hip hop haiusiani na bongo fleva hata kidogo

hip hop ni ulimwengu mzima ujue, hip hop ipo mpaka china

sasa tunakuelewa vipi unavyosema wanaofanya hip hop tanzania wote unawaweka kundi la bongo fleva?
Yote ni Bongo flavor, hata wakati jina la Bongo flavor linaanza hakukuwa na wanaoimba(wabana pua) bali wote walikuwa wana rap.
Ref: Rejea historia ya muziki wa kizazi kipya(Bongo flavor).
 
Mario au Post Malone au Lily Baby
🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃
 
Yote ni Bongo flavor, hata wakati jina la Bongo flavor linaanza hakukuwa na wanaoimba(wabana pua) bali wote walikuwa wana rap.
Ref: Rejea historia ya muziki wa kizazi kipya(Bongo flavor).
Hii nakataa,
Hiphop na Bongo fleva ni tofauti, ila miaka ya sasa ndo wasanii wamechanganyikiwa hadi hiphoppers wanajiita Bongofleva.
Kipindi hicho kina JCB wanatoa ngoma kuidiss Bongoflava.
 
Back
Top Bottom