Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
duh,Kama una vinasaba vya kiafande hivi,Jambo afande!!!P mawenge😜
Ndiyo mimi ni kuruta , jamboo😂😂duh,Kama una vinasaba vya kiafande hivi,Jambo afande!!!
Hahahahahahahsha mkuu usikatae kuna watu hawamjui marioooSeriously??
Yote ni Bongo flavor, hata wakati jina la Bongo flavor linaanza hakukuwa na wanaoimba(wabana pua) bali wote walikuwa wana rap.mkuu usichanganhe mambo hip hop haiusiani na bongo fleva hata kidogo
hip hop ni ulimwengu mzima ujue, hip hop ipo mpaka china
sasa tunakuelewa vipi unavyosema wanaofanya hip hop tanzania wote unawaweka kundi la bongo fleva?
Hii nakataa,Yote ni Bongo flavor, hata wakati jina la Bongo flavor linaanza hakukuwa na wanaoimba(wabana pua) bali wote walikuwa wana rap.
Ref: Rejea historia ya muziki wa kizazi kipya(Bongo flavor).