TANZIA Msanii Waziri Ally Kissinger afariki dunia

Duh mbona habari mbaya Sana, Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi
 
Apumzike kwa Amani. Tungewekewa na kibao chake kimoja kilichotikisa kipindi yupo hai.
 
Tanzia: aliyekuwa mwanamuziki na muasisi wa bendi ya njenje bwana waziri Ally amefariki dunia.
Marehemu amefariki dunia leo majira ya jioni katika hospitali ya Mwananyamala alikokuwa akipatiwa matibabu
 
RIP Waziri!! Daima tutamkumbuka Wazee wa Mduara!!! Amefanya makubwa katika muziki wa Tanzania [emoji1241]!! Pumzika Baba!!!
 
RIP Waziri!! Daima tutamkumbuka Wazee wa Mduara!!! Amefanya makubwa katika muziki wa Tanzania [emoji1241]!! Pumzika Baba!!!
Ayubu 1:21
[21]akasema, Mimi nilitoka tumboni mwa mama yangu nili uchi, nami nitarudi tena huko uchi vilevile; BWANA alitoa, na BWANA ametwaa; jina la BWANA na libarikiwe.
 
Huyu amekufa mara ya pili? Mbona kama niliona tangazo lake hapa wakati wa wimbi la kwanza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…