financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
R.I.P
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
23 July 2021
Dar es Salaam, Tanzania
Waziri Ally wa The Kilimanjaro Band (Wana Njenje) afariki dunia
Habari zathibitishwa na vyanzo vya karibu na kuwa Waziri Ally alikuwa anapatiwa matibabu ktk Hospitali ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam, Tanzania.
Source : SimuliziNaSauti
Labda umemchanganya na Wazir SonyoHuyu amekufa mara ya pili? Mbona kama niliona tangazo lake hapa wakati wa wimbi la kwanza?
Sio Delta huyu alikua akisumbuliwa na tatizo la moyo kwa kipindi kirefu na amekua india kwa matibabu kipindi fulani wakamuwekea kitu hivi cha msaada moyoniApumzike kwa amani[emoji3525] ? [emoji116]
View attachment 1865141
KinyaunyauApumzike kwa Amani. Tungewekewa na kibao chake kimoja kilichotikisa kipindi yupo hai.
Apumzike kwa amani.Msanii wa Muziki, Waziri Ally Kissinger wa The Kilimanjaro Band (wana Njenje) amefariki dunia usiku huu katika Hospitali ya Mwananyamala.
View attachment 1865139
View attachment 1865142
Mnachanganya waziri ally na mzee njenje alijufa mwaka juzi wote walikuwa bendi moja,the kilimanjaro bandItakuwa ni kufanana tu labda maana wanasema binadamu wawili wawili.
Unachanganya madesa na mzee njenjeBasi nimewachanganya. Mbona na picha yake iliwekwa hapa? Staili ya nywele zake kulikuwa na mvi na sehemu nyingine nyeusi.
Yule wa mwanzo ni Hamis Omar aka Babu njenje.Huyu amekufa mara ya pili? Mbona kama niliona tangazo lake hapa wakati wa wimbi la kwanza?