TANZIA Msanii Waziri Ally Kissinger afariki dunia

TANZIA Msanii Waziri Ally Kissinger afariki dunia

Basi nimewachanganya. Mbona na picha yake iliwekwa hapa? Staili ya nywele zake kulikuwa na mvi na sehemu nyingine nyeusi.
Itakuwa ni kufanana tu labda maana wanasema binadamu wawili wawili.
 
Lile lilituambia tuhamie Burundi, ๐Ÿ˜ข๐Ÿ˜ข๐Ÿ˜ข maana nipo Kabanga hapa ndio navuka boda nilidhani ni yeye nianze kurudi mkuu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ Dah noma kweli ipo siku itatokea uwe na amani tu.
 
Juzi nilikua nafuatilia interview yake kwenye Chill na Sky

R.I.P mwakwenda.
 
Naam, mhenga mwenzangu. Nilikuwa nakaakaa hapo nilipokuwa natembelea Dar. Jamaa anapiga zilipendwa anachanganya na nyimbo zao wenyewe Njenje.
Naam kulikuwa na buzuki flani wanapiga wakichanganya na nyimbo zao. Dah gone are old good days aisee.
 
Huyu jamaa aliujua Muziki msikilize kwenye Sogea karibu ya Juwata Jazz alikuwa muungwana sana alimuacha mkewe baada ya kujiridhisha mkewe anajihusisha..........mkewe ni Nyota Kinguti ambaye akaja julikana kwa jina la Nyota Waziri. R.I.P KISSINGER
 
23 July 2021
Dar es Salaam, Tanzania

Waziri Ally wa The Kilimanjaro Band (Wana Njenje) afariki dunia


Habari zathibitishwa na vyanzo vya karibu na kuwa Waziri Ally alikuwa anapatiwa matibabu ktk Hospitali ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam, Tanzania.
Source : SimuliziNaSauti
Three members of The Kilimanjaro band : Mabrouk Hamisi, Mohammed Mrisho, and Waziri Ally, have played together since 1973 when the band was called the Revolutions.
 
Back
Top Bottom