TANZIA Msanii Waziri Ally Kissinger afariki dunia

TANZIA Msanii Waziri Ally Kissinger afariki dunia

Lile lilituambia tuhamie Burundi, 😢😢😢 maana nipo Kabanga hapa ndio navuka boda nilidhani ni yeye nianze kurudi mkuu😂😂😂😂
Mkuu wewe umekula boda la Kabanga? Mimi nakatisha zangu Manyovu saa hizi, nawahi Buja.
 
Tanzia: aliyekuwa mwanamuziki na muasisi wa bendi ya njenje bwana waziri Ally amefariki dunia.
Marehemu amefariki dunia leo majira ya jioni katika hospitali ya Mwananyamala alikokuwa akipatiwa matibabu
Nilikua Mwenge leo nyumbani kwake. Marehem amefariki akiwa njiani anapelekwa hospitali.
 
Bima ya afya ni muhimu.kule bei nafuu,na wasanii wengi wanaishi wilaya ya kinondoni kitovu cha starehe.wasanii wengi walifanya makubwa ila walinyonywa sana,hawawezi kulipia bima za afya wala hawana uwezo wa kwenda aga khan.ila hawa waimba matusi wa bongo flavor wanamiliki mamilioni the wprld is not fair
Huyu mzee alikua na pesa sana, kitu usichokijua. Inasemakana alianza kukosa pumzi ndo maana akawa anawahishwa Mwananyamala.
 
Huyu mzee alikua na pesa sana, kitu usichokijua. Inasemakana alianza kukosa pumzi ndo maana akawa anawahishwa Mwananyamala.
Siwezi kubisha maana sijui maisha yake binafsi ila wanamziki wa zamani wengi hali zao kiuchumi si nzuri Umri umeenda na hawana bima
 
Huyu jamaa aliujua Muziki msikilize kwenye Sogea karibu ya Juwata Jazz alikuwa muungwana sana alimuacha mkewe baada ya kujiridhisha mkewe anajihusisha..........mkewe ni Nyota Kinguti ambaye akaja julikana kwa jina la Nyota Waziri. R.I.P KISSINGER
Hivi ule wimbowa sogea karibu alipiga kinanda? Alikuwa mwanamuziki mzuri sana. Mungu amlaze pema peponi
 
Back
Top Bottom