mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Muhenga mwenzangu kumbe unakumbukaWay back Gogo hotel Morocco
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muhenga mwenzangu kumbe unakumbukaWay back Gogo hotel Morocco
Mkuu wewe umekula boda la Kabanga? Mimi nakatisha zangu Manyovu saa hizi, nawahi Buja.Lile lilituambia tuhamie Burundi, 😢😢😢 maana nipo Kabanga hapa ndio navuka boda nilidhani ni yeye nianze kurudi mkuu😂😂😂😂
Yule ni babu njenje au mzee njenje..we nikijana mdogo mambo ya kale huyajui
Nilikua Mwenge leo nyumbani kwake. Marehem amefariki akiwa njiani anapelekwa hospitali.Tanzia: aliyekuwa mwanamuziki na muasisi wa bendi ya njenje bwana waziri Ally amefariki dunia.
Marehemu amefariki dunia leo majira ya jioni katika hospitali ya Mwananyamala alikokuwa akipatiwa matibabu
Huyu mzee alikua na pesa sana, kitu usichokijua. Inasemakana alianza kukosa pumzi ndo maana akawa anawahishwa Mwananyamala.Bima ya afya ni muhimu.kule bei nafuu,na wasanii wengi wanaishi wilaya ya kinondoni kitovu cha starehe.wasanii wengi walifanya makubwa ila walinyonywa sana,hawawezi kulipia bima za afya wala hawana uwezo wa kwenda aga khan.ila hawa waimba matusi wa bongo flavor wanamiliki mamilioni the wprld is not fair
Siwezi kubisha maana sijui maisha yake binafsi ila wanamziki wa zamani wengi hali zao kiuchumi si nzuri Umri umeenda na hawana bimaHuyu mzee alikua na pesa sana, kitu usichokijua. Inasemakana alianza kukosa pumzi ndo maana akawa anawahishwa Mwananyamala.
Vijana wa sasa hawatokuelewa kabisa, Enzi izo Morocco gogo hotel, bendi zote kubwa kubwa zilikuwa zinakuja gogo hotel.Wana njenje original maana pale kila ijumaa ilikuwa ni usiku wa njenje. CCM wakauza Gogo Hotel ambayo baadae iliitwa City Ambassador Hotel.
Hivi ule wimbowa sogea karibu alipiga kinanda? Alikuwa mwanamuziki mzuri sana. Mungu amlaze pema peponiHuyu jamaa aliujua Muziki msikilize kwenye Sogea karibu ya Juwata Jazz alikuwa muungwana sana alimuacha mkewe baada ya kujiridhisha mkewe anajihusisha..........mkewe ni Nyota Kinguti ambaye akaja julikana kwa jina la Nyota Waziri. R.I.P KISSINGER