joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
We endelea kuongozwa na HISIA ila mwisho wa SIKU si tutaangalia NUMBER kwani NUMBER hazidanganyi.Najua mtabisha mpaka kesho ukweli ndo huo wimbo mbovu, Kivuri kinawabeba ila uwezo wao mdogo mno,. Promo kubwa watu wanaenda kucheki wanakutana na matakataka..
hata hiyo Ep itakua mbovu tu style ya uimbaji itakua ile ile maadhi ya taarabu kwenye beat za bongo fleva wanajaribu kupatahit kupitia Ep
In my Opinion..
Mzee una wivu.In my Opinion..
Nasikiliza genre mbalimbali za muziki,so nina standard..
Huyu msanii angekuwa hayupo WCB hata 50k asingekuwa amepata
Ana nafasi ya kuimprove..uimbaji wake wakawaida sana
Sio wivu..ningekuwa na wivu nisingesifia debut singles za kina Rayvanny na wengine..sema nyie mashabiki hoyahoya huwa mnakuwa kama mmelogwa na hamtaki kusikia maoni negative kutoka kwa watu..Mzee una wivu.
Umeisaidia maana nlkuwa sijui nkajua nikiuliza kujibiwa majaliwaKuna mtu naweza nikawa nimemsaidia kwa hili
An extended play record, often referred to as an EP, is a musical recording that contains more tracks than a single, but is usually unqualified as an album
Wewe ulitaka yakuchezeka ndo maana lakini hiyo ngoma ipo poa kuanzia beat, Melody mpaka mashairi ulikuwa unataka Nini zaidi ya hivyoSio wivu..ningekuwa na wivu nisingesifia debut singles za kina Rayvanny na wengine..sema nyie mashabiki hoyahoya huwa mnakuwa kama mmelogwa na hamtaki kusikia maoni negative kutoka kwa watu..
She have to come with something special ili sisi wapenda muziki kutoka kwa real talents tumuelewe..ila for the meantime wewe unaweza kuendelea kumpa 5star zako
Yupo WCB ni trainer wa mabaunsa.Dudubaya siku hizi Wamemtelekeza
Nani amesema anapenda nyimbo kama hizo tu?Wewe ulitaka yakuchezeka ndo maana lakini hiyo ngoma ipo poa kuanzia beat, Melody mpaka mashairi ulikuwa unataka Nini zaidi ya hivyo
Kamoyo kana wauma .poleNajua mtabisha mpaka kesho ukweli ndo huo wimbo mbovu, Kivuri kinawabeba ila uwezo wao mdogo mno,. Promo kubwa watu wanaenda kucheki wanakutana na matakataka..
hata hiyo Ep itakua mbovu tu style ya uimbaji itakua ile ile maadhi ya taarabu kwenye beat za bongo fleva wanajaribu kupatahit kupitia Ep
Kasikilize vizuri Tena Mara kwa Mara utaupenda na utavuta comment yako ulioandika huyu dada ni fundi na best vocalist na ameshiriki kwenye shindano la vipaji la Tecno own stage lililofanyika Nigeria kwa Tanzania walitoka wawili tu Nandy na Zuchu mwenyewe na pia zuchu alikuwa ndio anategeneza jingle nyingi pale Wasafi.Tukija kwenye wimbo wake huu kachanganya vitu vitatu bongo fleva, mziki wa bwani na ladha ya kihindi kwa mbali huo ndio ubunifu wenyewe na Jambo zuri kwa huyu dada si tu anaimba lakini ni writer mzuri ana andika nyimbo mwenyewe, uandishi wa huo wimbo ni mzuri Sana lakini pia ni wimbo wa kudumu huwezi kuuchoka kusikiliza kiufupi huyu dada ni fundi.Nani amesema anapenda nyimbo kama hizo tu?
Ngoja nikutajie playlist yangu fupi kwa sasa then uone mimi ni mtu ninayependa aina gani ya muziki
✓Dawa-Sheby Medicine(bonge na ngoma)..Yooo guys kasikilizeni hili pini
✓Pombe Sigara-Nviiri The Storyteller
✓Jeje-Diamond
✓Before You wake up-Adekunle Gold
✓Bedroom-Harmonize
✓Toosie Slide-Drake
✓Haina Maana-Mimi Mars
✓Umefanana naye-Belle 9
So kwa kiufupi najua muziki mzuri iwe ni wakuchezeka au wakusilizika tu kwa wewe unavyosema
mnasemaga hivi ila baadae wakiambiwa gharama za kuvunja mkataba ni milioni 600 mnaanza kusema Diamond mnyonyaji mnasahau investment iliyofanywaMkuu Hawa wasanii wa Wcb wanatembelea kivuri cha boss wao ila uwezo wao mdogo.
isingekua yupo chini ya Diamond mpaka kufikia mda huu hata Views 20k hangekua hajafika,
Lini ushawahi kusifia WCB ww?Sio wivu..ningekuwa na wivu nisingesifia debut singles za kina Rayvanny na wengine..sema nyie mashabiki hoyahoya huwa mnakuwa kama mmelogwa na hamtaki kusikia maoni negative kutoka kwa watu..
She has to come with something special ili sisi wapenda muziki kutoka kwa real talents tumuelewe..ila for the meantime wewe unaweza kuendelea kumpa 5star zako
Nyimbo zote za kike itakuwa wewe sio mwenzetuNani amesema anapenda nyimbo kama hizo tu?
Ngoja nikutajie playlist yangu fupi kwa sasa then uone mimi ni mtu ninayependa aina gani ya muziki
✓Dawa-Sheby Medicine(bonge na ngoma)..Yooo guys kasikilizeni hili pini
✓Pombe Sigara-Nviiri The Storyteller
✓Jeje-Diamond
✓Before You wake up-Adekunle Gold
✓Bedroom-Harmonize
✓Toosie Slide-Drake
✓Haina Maana-Mimi Mars
✓Umefanana naye-Belle 9
So kwa kiufupi najua muziki mzuri iwe ni wakuchezeka au wakusilizika tu kwa wewe unavyosema
This is a History written in Africa for the first time. An upcoming artist with a million views less than 72 hrs...Msanii mpya wa kike wa WCB leo atazindua EP yake baada ya kutoa single song yake ya "Wana" ambayo Hadi sasa Ina viewers million 1+ kwa siku 2 Pekee nakuwa msanii wa kwanza wa kike ambayo ngoma yake ya kwanza imefika million 1 kwa siku mbili tu.
Ngoma hizo ambazo zipo kwenye EP yake ni Kama zifuatazo
1.Hakuna kulala
2.Nisamehe
3.Kwaru
4.Wana
5.RahaView attachment 1416914View attachment 1416915
Investment wakati kwenye mapato unachukua 65% yeye ndo inatakiwa apewe kiinua mgongo maana kwa mda wote huo kaiingizia kampuni faidamnasemaga hivi ila baadae wakiambiwa gharama za kuvunja mkataba ni milioni 600 mnaanza kusema Diamond mnyonyaji mnasahau investment iliyofanywa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kings wanapewa sh ngapi?Investment wakati kwenye mapato unachukua 65% yeye ndo inatakiwa apewe kiinua mgongo maana kwa mda wote huo kaiingizia kampuni faida
Tatizo lao Wana akili za kuvukia Barabara ndo maana hawajui wanachokiongeamnasemaga hivi ila baadae wakiambiwa gharama za kuvunja mkataba ni milioni 600 mnaanza kusema Diamond mnyonyaji mnasahau investment iliyofanywa
Sent using Jamii Forums mobile app