Msanii zuchu kutambulisha EP yake leo

😃😃😃😃😃😃😃😃😃
 
Mzee naona unatetea ugali kwa nguvu zote[emoji3][emoji3]
Mbona uzi wa dodo mbaya mlisupport?
Wewe ulitaka yakuchezeka ndo maana lakini hiyo ngoma ipo poa kuanzia beat, Melody mpaka mashairi ulikuwa unataka Nini zaidi ya hivyo
 
Yan mpka asikilize mara nyingi? We jamaa ebu kuwa serious
 
Ww Acha uongo mkuu,kipindi hakijafutwa kipo ila wanareview contents za kipindi kukitofautisha na kile cha mchana cha kina liliommy.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee naona unatetea ugali kwa nguvu zote[emoji3][emoji3]
Mbona uzi wa dodo mbaya mlisupport?
Dodo beat mbaya pia Melody sio nzuri ndo imeiangusha huo wimbo lakini sio kwa sababu wimbo ni slow mbona Mario ngoma zake ni slow lakini zinabamba.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mkuu umeamua kuzira na kufunga mjadara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui kwanini hakuwa hawa[emoji21]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa alishatibiwa imetosha pale tu,halafu Nasikia alimnyimaga mbunye boss wa WCB enzi hizo bado hajawa msafi

Kwaio acha aishi kwenye ujeuri wake
Mondi saizi macho Kodo kuelekea Rwanda,nadhani kagame atakuwa kesha muandalia kashamba kakumwagia mbegu
Hiyo ndio faida ya kuwa na nyota nzuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hata mm naamini nikisajiliwa wcb nikatoa nyimbo naamini ntapata viewers wengi tu sijui jamaa wachawi wale..[emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
In my Opinion..

Nasikiliza genre mbalimbali za muziki,so nina standard..

Huyu msanii angekuwa hayupo WCB hata 50k asingekuwa amepata

Ana nafasi ya kuimprove..uimbaji wake wakawaida sana
Uko sawa kabisa..
Kwa uimbaji wake nadhani huo wimbo ungekufa hata mimo sijausikia..
WCB inambeba sana.. na wasanii kama Marioo wamgekuwa WCB na zile ngoma zake kama INATOSHA nadhani Tz ingesimama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…