Msanii zuchu kutambulisha EP yake leo

Kweli siku hizi sifuatilii muziki yaani wimbo hadi una view 1m+ ila sijawahi kuusikia!! Au sio mzuri? Maana wimbo mzuri utakufata wenyewe hata usipoufata
Si kuna misukule kaka kitu siyo kitu kwao kitu ili waonekane bora...hamna ngoma pale usije hata jisumbua labda tusubiri hizi za kwenye EP.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda tusubiri hizi kadhaa za kwenye EP siyo ule uchafu mnaotaka kutuaminisha ni ngoma Kali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wimbo mbaya kinoma..In my opinion..Yaani huwezi kulinganisha na debut za kina Harmonize(aiyola),Rayvanny(Kwetu) na hata Wale madogo wengine

Sema hawa WCB kama wachawi vile..they have an extra power
Hakuna extra power bro....angalia wanavyokukuruka yutubu kule hahahahaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We endelea kuongozwa na HISIA ila mwisho wa SIKU si tutaangalia NUMBER kwani NUMBER hazidanganyi.
Nahisi mashabiki wa WCB ndo wana hisia Kali kuliko waigizaji wa KIHINDI hawa hawataki hata kumsikia KONDE BOY wakati walimtukuza kwa Kila aina ya sifa kama mlimsapot kwa sababu ya uwezo wake kwann sasa mnamponda HISIA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ulitaka yakuchezeka ndo maana lakini hiyo ngoma ipo poa kuanzia beat, Melody mpaka mashairi ulikuwa unataka Nini zaidi ya hivyo
Yeye kazungumzia Muziki mzuri usimuwekee maneno mdomoni mwake na kampa nafas ya Ku improve so kama atafanya vizuri huweza akaja na maoni tofauti kimsingi hata kwangu WIMBO WA KAWAIDA MNO...let's wait hizo zilizopo kwenye EP.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muziki wa BWANI ndo upi kaka?...acha kutetemeka hadi unakosea kuandika...usimlazimishe mtu apende unachopenda wewe kaka ushaambiwa hakuna kitu pale siyo habari ya kumshauri mtu eti usikize Mara nyingi utaupenda Hahahahahahaaaa...hali ni ngumu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mnasemaga hivi ila baadae wakiambiwa gharama za kuvunja mkataba ni milioni 600 mnaanza kusema Diamond mnyonyaji mnasahau investment iliyofanywa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi hadi umlipishe mtu mil 600 manake wakati upo nae hakuwai kukuingizia faida au ndo faida alizoingiza tuna + na hiyo mil 600???...mtoto wa watu alikuwa na njaa ya kutoka tu ndo maana aliingia mkataba wa ki KENGE utapeli,dhuluma tupu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe lini ulisifia mjengoni na KING KIBA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
This is a History written in Africa for the first time. An upcoming artist with a million views less than 72 hrs...
Movements... Movies za WCB

Ndo hizi sasa.
Kitu kimoja tu kimegoma mlitamani YouTube atrend namba 1 ili muingize kwenye rekod zenu za kulazimisha sema ndo kuna DODO pale Hahahahaaaa mmebuma vibaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…