Msekwa aongoza mjadala wa Katiba Mpya na Tanzania tunayoitaka

Msekwa aongoza mjadala wa Katiba Mpya na Tanzania tunayoitaka

Kwa mwendo huu JK akubali madhalo wa aina yoyote ile????? Thubutuuuuu!
 
Ahsante msekwa kwa maelezo yako mazuri mimi sio mnafik wala sina uchama hapa ukweli kwa upande wangu umefanya kitu ulichoitiwa
 
Lkn cjamkubali kivile hajaweza kujipanga katika kuwasilisha hoja ya nguvu yaani uwezo wake nadhani anahitaji semina au darasa la namna ya kusend msg katika hadhira tofauti amezungumza kama anaongea na masela wa unga ltd
Mbona alisema yeye hataongelea katiba ila alikuwa anampa salamu msekwa awapelekee wenzake. Alisema hatunahaja ya kuomba katiba ila tunataka katiba alisisitiza si ombi bali watu wanataka haki yao. Kiujumla Lema anauchungu sana na ccm maana inataka kuuhodhi mchakato wakatiba kupitia raisi wao jk. Mimi amenifurahisha kwa kuwadharirisha ccm wasije wakadhani kuwa wao ndo wanapashwa kutoa au kutokutoa katib
 
it was boring! Maswali hayajajbiwa na mtoa mada, moderator na msaidizi vilaza, yan ilikuwa kama mazungumzo ya watu wanaoongea lugha tatu tofauti. anyway nlikuwa sina pa kwenda mdahalo umenvutia muda kdgo swali: hv kweli hayo atayafikisha kwa JK ka alivyosema na JK atasikiliza? Au JK ashakuwa haambiliki nkimanisha 'sikio la kufa......'
 
Kumbe kamati kuu ya CCM ndo ilimtuma JK kutoa azimio la kuunda tume ya kuratibu mchakato wa marekebisho ya katiba. Msekwa ameweka wazi kwamba hakuna msukumo wa tanzania kua na katiba mpya na kwamba marekebisho ya katiba yanatosha..
 
Niluona wote kwenye runinga, utumbo mtupu! Msekwa hajielewi haelewi hajibu maswali kuanzia mwanzo kabisaa alishindwa kujibu maswali ya yule Mama mwenyekiti. Kibabu kilinishngaza ambavyo kilikuwa kinajichanganya. Akiulizwa swali anaanza kutoa lecture ya historia. Aliyemalizia vyema ni Lema, maana alimwambia Katiba mpya siyo ombi bali wananchi tunataka katiba mpya! Mdahalo ukafungwa.
 
Back
Top Bottom