Msekwa aongoza mjadala wa Katiba Mpya na Tanzania tunayoitaka

Msekwa aongoza mjadala wa Katiba Mpya na Tanzania tunayoitaka

Bora wangemwalika makamba kuliko huyu. Yaani amefrustrate kabisa na kupoteza mwelekeo
 
msekwa afanywa mbuzi wa kafara na makamba...asema aulizwe kama speaker mstaafu na sio makamu mwenyekiti wa sisiem
 
Kibanda: rais wa JMT ni mdogo kwa rais wa znzr.....anasema wagombea wa urais wote walikuwa wabara wanzbr waliachwa, katiba iangalie hiyo
Anaulizia hoja ya serikali moja iliyowahi kusemwa na Mwinyi.........anahoji majukumu ya katiba isije ikatokea yale ya Mkapa na jaji kisanga aliposema tume imefanya kazi isiyotumwa
 
richard kasesera aendelea kupoteza muelekeo.... pointless
 
mwananchi wa kawaida namkumbusha msekwa yeye ni mtu muhimu japo hajajitambua..........anahuanisha katiba na tume ya uchaguzi.....mkurugenzi aliyechaguliwa na waziri mkuu hawezi kutenda haki kwa chama kisicho cha serikali........anamuuliza msekwa mwaka 62 waliwauliza wananchi??.....Anamuuliza msekwa kasema mgomo na maandamano ni haki......sasa inakuwaje polisi wanavunja katiba kwa kuzuia maandamano?
 
Lema: Mgomo na maandano ni haki, kwa nn sasa waliwaua wale wa arusha??...........anamwambia msekwa akawaambie wenzake tuanataka katiba mpya, sio kuomba.............anamshauri msekwa wazeeke vizuri wasije wakamalizia uzee wao "the heague"..........katiba mpya haiepukiki.na ni lazima
 
kumbe Lema naye yupo ameponda ile mbaya anasema hatuombi katiba ili tunataka katiba mpya.
 
msekwa hana la maana, ccm na msaliti wa taifa.katumwa na mkwere kuwahadaa watanganyika
 
mrema lyatonga naye yupo lakini kakaa kimya tu sijui kwa nini
 
nimefatlia mdahalo mkuuu nae anaongea pumba zile zile za chama tawala......................
 
Msekwa nasema ina takiwa katiba mpya ianyofanana na Tanzania ya leo............unatakiwa mchakato usio na mashaka.......na hilo ndi alilojifunza leo........msekwa bado ansisitiza tume ni muhinmu kwa lengo la kuwafata wananchi kulekule waliko.....lazima wananchi wafatwe huko huko walipo...........hiyo ndo sbb ya msekwa kuona tume ni muhimu.........anataka wanchi kama hawataki njia hiyo bac wapropose altenative route...........yeye anashauri njia ya kuunda tume ya bunge kama njia mbadala..
 
Msekwa: Mawzo yaliyopo sasa ni yatume ya rais na ile ya bunge...kama yapo mengine yaletwe yakamsaidie rais
 
Back
Top Bottom