Msekwa aongoza mjadala wa Katiba Mpya na Tanzania tunayoitaka

Msekwa aongoza mjadala wa Katiba Mpya na Tanzania tunayoitaka

kafulila anaongea tusamehe yaliyopita, akimaanisha rafu za uchaguzi labda.
Kafulila anasema umuhimu wa katiba mpya ni kwasbb ii iliyopo imeweka mfumo mbovu....anacrsha hoja ile ya msekwa ya kutokuwa na umuhimu wa katiba mpya........anasema tuwe na katiba ambayo hata kama tutapata rais bomu basi mfumo uwabane
 
Mbunge wa mbozi magharibi, du bwana mdogo kabisa!
 
Wenzenu hatuna umeme, makamo mwenyekiti alikuwa nani? Tafadhalini tupeni summary ya yanayojiri
 
mbunge wa mbozi sasa........anasema katika huu mjadala kila wazo la mwananchi lazima lichukuliwe.......anasisitiza kuwa serikali iseme lini katiba itakuwa tayari(kuanza kwa mchakato)
 
mwananchi mmoja ansema watu wasome katiba kwanza kabla ya kuanza kwa mchakato mpya
 
opsi silinde anaongea duh haiwezekani kumtenganisha msekwa na makam mwenyekiti wa ccm.wajumbe wanamrefaa zito kama medieta wao.
 
Tuijadili katiba ya zamani na kuangalia mapungufu yake kabla ya kujadili katiba mpya.
 
godfrey chalse mdau:
jamaa anasisitiza kuwa hizo tume anazosema msekwa zilishashindwa huko nyuma.....sasa zitawezaje sasa.
upya wa katiba ya cc ni tofauti na upya wa wanaharakati wengine
anasisitiza aina za elimu.........wananchi wasitishiwe kwa aina za vipengele............level za kielimu za wanachi ni tofauti na hivyo aina ya elimu itofautiane...hoja ya katiba isidaiwe na serikali, hakuna hoja ya katiba iliyowahi kudaiwa na serikali...........jhuyu jmaaa anamkrshsh msekwa live kuwa...msekwa anaonekana hana ni ya katiba
 
Ahahahaah!! Jamaa kamvaa Msekwa laivu, na huyu dada dah!
 
mwananchi hapa ansema msekwa hana pa kutokea..........hiyo katiba ina mpango wa kuwatetea na hana imani na hiyo tume ya rais.......anashauri hiyo tume isiwashirikisha ssm sabb wao ndo wmetufikisha hapa
 
Tunahitaji Tanzania mpya na sio katiba mpya.......Kibanda.
 
Back
Top Bottom