Msekwa aongoza mjadala wa Katiba Mpya na Tanzania tunayoitaka

Msekwa aongoza mjadala wa Katiba Mpya na Tanzania tunayoitaka

Msekwa hana jipya...anajing'ata ng'ata tu...hata kumbu kumbu ya maswali aliyoulizwa hana
 
Ahahahahaaah kweli mzee huyu kazeeka amesahau maswali aliyoulizwa.
 
Huyu mzee watamuus kwa presha,,,,Zitto anajaribu kumuokoa
 
Kwa kweli walioandaa huu mdahalo wamemuonea huyu mzee hata hajibu maswali .
 
Anajishushia hadhi tu, si angeenda kulala na bibi zaizi usiku huu anabishana na vijana!!! CCM bana
 
huu mdahalo fanfa namuona yule jamaa aliyezomewa nkhuruma nayeanachangia.
 
naomba ufafanue

jamani huyu mzee anachanganyikiwa na amekiri hivyo.zito kabwe amekuwa mtu wa katikati kwa kutoa ushauri kwamba mzee asiulizwe maswali kama ccm ila kwa uzoefu wa msekwa wamuombe ushauri kwamba wanataka katiba iweje?na tanzania wanayoitaka.
 
Jamaa anamwambia Msekwa eti anatakiwa ale pensheni nae anajibu kuwa bado ana nguvu.
 
mzee amekasirika anasema wasimsukumize ccm yeye anaongea kama spika mstafu.
 
Back
Top Bottom