Msekwa aongoza mjadala wa Katiba Mpya na Tanzania tunayoitaka

Msekwa aongoza mjadala wa Katiba Mpya na Tanzania tunayoitaka

Lini katiba mpya serikali na chama tawala vitatupatia?
 
tusubiri matatizo yapi yatokee ili kubadili katiba?
 
Du jamaa wa pili ana maelezo mengi....wote naona wanauliza lini katiba mpya itatolewa?
 
katiba mpya iweke "democratic sovereignity"
 
huyu mzee eti anataka kwanza tuisome katiba ya sasa ilitujilizishe kama tunahitaji katiba mpya. Huyu mzee hajatulia.
 
Kutokana na kauli za Msekwa, nitairusha kwenye youtube utamwelewa zaidi!
 
kwa majibu ya huyu mzee inaonekana ccm na serikali hawahitaji katiba mpya wanataka kuweka viraka tu.
 
huyu mzee eti anataka kwanza tuisome katiba ya sasa ilitujilizishe kama tunahitaji katiba mpya. Huyu mzee hajatulia.
Nani kamwambia hatujaisoma, na kina sisi ambao hatujui kusoma mpaka kwanza tujifunze kusoma?
 
Jamani ni uzee unanijia bila taarifa nashindwa kumwelewa Msekwa ama ni yeye ameachwa na wakati...kwa kua anarudia tu Historia na haelekei kukumbuka kwamba tuko kwenye zama mpya!
 
Back
Top Bottom