Msekwa aongoza mjadala wa Katiba Mpya na Tanzania tunayoitaka

Msekwa aongoza mjadala wa Katiba Mpya na Tanzania tunayoitaka

kwahiyo hii ni hotuba, hadithi au lecture ?
hata mimi simwelewi, anatoa historia ya namna katiba ilivyoundwa. Inaonekana anataka njia zilizotumika zamani labda ndo zitumike. Sasa ameulizwa swali la tume ya mkwere
 
Anatoa hotuba huyu mzee, namuona Zitto ndani.
 
huyu mzee anataka tume ndo itumike ati ndo utaratibu uliozoeleka.
 
weee babu acha siasa za kifitina kama katiba inabadilishwa kwa nchi ambazo ni za dicteta je tanzania nayo si tunaongozwa na mafisadi? katiba ni muhimu.:msela:
 
anamuuunga mkono kikwete kuunda tume kutafuta maoni kwa wananchi
 
naona anapingana kidogo na mkwere anadai tume inaweza kuundwa na bunge.
 
Anasema eti tume ya rais sio njia pekee, bunge pia linaweza kuunda tume ya kuratibu maoni juu ya katiba.
 
Yaani bado wanatumia kodi zetu kwenda Movenpick, hahaaaa Msekwa anatetemeka kweli sijui kasahau alivyokremu!!! haya huko Egypt nako kunawaka moto, jeshi limeingia mtaani na Hosni Mubarack ndo anaelekea kwene State TV akiongozwa na jeshi!!!
 
Kauli ya rais ni yake au ya chama? Anajibu kuwa alipata baraka za kamati kuu.
 
kauli ya katiba ya jk je ni yake binafsi, ya chama, au serikali?
 
kumbe mawazo ya kuunda tume yalibarikiwa na cc ya jembe na nyundo maana mkwere aliwaomba ushauri nao wakamkubalia. Kumbe huu ni utaratibu wa ccm na si wawatanzania.
 
ameulizwa,kikwete alikuwa anamwakilisha nani? amesema alikuwa anawakilisha polical process,yeye alikuwepo kamati yabccm ilimruhusu
 
jamaa ameuliza katiba aliyoiasisi bado inaruhusu mafisadi kujitawala na polisi kutumia rungu kunyanyasa raia
 
Back
Top Bottom