Msekwa aongoza mjadala wa Katiba Mpya na Tanzania tunayoitaka

Msekwa aongoza mjadala wa Katiba Mpya na Tanzania tunayoitaka

Jamaa wanamkata maana Msekwa anatoa maelezo mengi sana
 
bora humu JF kuna issue... nimeacha kuangalia historia na craming capacity ya msekwa
 
:twitch:Hivi msekwa hajafa tu? bado anafanya ufisadi wake?:twitch:
 
leo kazi ipo...msekwa anafanya kupoteza muda ili kupunguza maswali.....
 
Msekwa anataka kueleza sura zote kumi za katiba watu wamemwambia wanazijua
 
waandaaji wameamua kumuumbua huyu mzee ama ni 'bahati mbaya' ambapo siamini ktk falsafa hii ya bahati mbaya
 
Zito anauliza swali na anahoji kwa nini watu wanamuweka kitimoto Msekwa, anataka kijadiliwe ni katiba ya namna gani inahitajika.
 
jamani sijui anazungumza nini uwezo wake umepungua sana kuzungumzia maswala ya katiba sijamuelewa kwa sababu anaulizwa swali anatoa maelezo anashindwa kujibu swali
 
Du huyu dada Rose hataki kabisa watu wachangie ni maswali tu.
 
Back
Top Bottom