Msekwa aongoza mjadala wa Katiba Mpya na Tanzania tunayoitaka

Msekwa aongoza mjadala wa Katiba Mpya na Tanzania tunayoitaka

mliopo karibu na movenpick mnakaribishwa
 
ITV WAMEKOSEA MUDAHALO WA KITOTO

KWANINI WANAKARIBISHA UPANDE MMOJA????

ITV hakuna mdahalo hapo
 
swali kuhusu ushirikishwaji wa wananchi ktk katiba ya 1977
 
AIM YA MDAHALO HUU NI KUAMINISHA WATANZANIA KUWA JK ATAUNDA TUME KUTAFUTA MAONI


HOJA YA KATIBA MPYA INAPINDISHWA

TUME ikiundwa jua ROSTAM kaweka watu wake
 
political process and legal process yeye alishiriki kwenye political process, geogre liundi ndie alie iandika
 
msekwa anasema katiba mpya ilishaandikwa mwak 1962
katiba nyingine 1977,

Kama historia ya katiba
 
Back
Top Bottom