Msekwa kudai kwamba Salum Jecha alifuta uchaguzi wa 2015 peke yake ni Uongo

Pius Msekwa is very right, hapa anamzungumzia aliyetangaza kufuta uchaguzi na sio hisia. Hakuna ushahidi wowote wa Jecha kutumwa na yeyote au kushirikiana na yeyote, alipotangaza kufuta uchaguzi Jecha alikuwa yeye peke yake.

Hoja ya Msekwa ni kwamba Jecha, japo alikuwa Mwenyekiti wa ZEC, hakuwa na mamlaka ya kufuta uchaguzi. Mtu asiye na mamlaka ya kufanya jambo fulani halafu akaachwa anaangaliwa tuu na kweli ukafutika, ni jambo la ajabu sana.

Hili jambo hata mimi nililizungumzia sana humu

P
[emoji38][emoji38][emoji38] endeleeni kupanua magoli .
 
View attachment 2130253

Wote tunafahamu kwamba Salum Jecha alifuta matokeo ya Urais ya 2015 baada ya Mgombea wa chama chake ccm aliyeitwa Mohamed Shein kuangushwa kwa kishindo na Gwiji Maalim Seif , huu ndio ukweli na ndivyo dunia inavyofahamu .

Salum Jecha alifuta uchaguzi ule kwa Maelekezo ya ccm , hii maana yake ni kwamba Jecha alishirikiana na ccm kufuta uchaguzi wote wa Urais kwa lengo la kuokoa chama chake baada ya Mgombea wao kuangukia pua , ikumbumbukwe kwamba Jecha ni Mwanaccm hai aliyeshiriki chaguzi za ubunge na Urais za chama hicho kama Mgombea .

Kabla ya tangazo la kufutwa kwa uchaguzi wa 2015 vyombo vya usalama vilisambazwa mitaani ili kukabiliana na watakaopinga , hii maana yake ni kwamba kulikuwa na ushirikiano kati ya Vyombo vya dola , ccm na Jecha , Sitaki kuamini kama Pius Msekwa alikuwa hayajui haya , kiasi cha kusema JECHA ALIFUTA UCHAGUZI PEKE YAKE , hapa amelenga kupotosha umma , hawa wazee wakiachwa kuendelea kupotosha watatuona sisi vijana wa kileo ni mabwege , nampinga vibaya sana huyu Mzee .

Ni kweli kwamba Jecha ndiye aliyetangaza kufutwa kwa uchaguzi ule kwa vile alikuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ule , lakini alitumwa kufanya vile na chama chake , hakuwa peke yake , Mzee Msekwa aseme ukweli ili aendelee kuheshimiwa .
Msekwa? another hopeless stooge that does not deserve respect!!
 
Shikwambi

Shinda kwa Mbinu ( Shikwambi)

Ile ya 2020 ni cha mtoto, 2025 mtapigwa Shikwambi ambayo haijawahi kutokea na hii Itakuwa Massive landslide Victory kwa Rais Samia

Mama atashinda kabla hata ya tarehe ya uchaguzi, Ndani ya miezi kadhaa Mama ameshashawishi wahisani wengi na hata biashara za matajiri zina anza kuamka

Tuliwaeleza mwaka 2020 matumizi ya Shikwambi mkatukana hapa JF, Yaliyotokea kwenye uchaguzi mliyaona

2025 hata neno Chadema huta lisikia hapa Tanzania

Mimi mwenyewe najitokeza Front line lazima Mama ashinde.

Huoni ujenzi umeanza tena mitaani kwa kasi ya ajabu na watu sasa wanakula starehe sana

Nipo Dar hapa kwa muda toka Dodoma Hakika sasa watu wanakarabati sehemu zao za starehe kwa kasi sana na hayo ndio yanaonyesha pesa inazunguka kwa kasi sana

Tegemea matumizi ya Shikwambi zaidi 2025

Hakuna wa kukutetea maishani mwako, Jibebe na ujitetee mwenyewe, Kila mtu ana matatizo yake na ana familia yake inayomtegemea, Wewe nani tukuruhusu ukate mirija ya watu ya shibe na chakula kisa uchaguzi

Uchaguzi ni neno tu linalotumika kuonyesha kuna Demokrasia sio Tanzania tu hata baadhi ya nchi ulaya na Asia hakuna uchaguzi wa Demokrasia hata marekani wenyewe aina ya uchaguzi wao wa majimbo ni wa kidikiteta sana, Kuna majimbo yamepewa electro vote nyingi sana Marekani na mengine electro vote kiduchu sana,

Kama unategemea ushindi wa spoon feeding sahau mkuu, Utapigwa Shikwambi na hata hutaamini kama kweli akina Mama sasa wanaweza 2025 na neno Chadema hutalisikia bali litabaki kwenye kumbukumbu za kitabu cha gnesisi kuwa kilikuwa chama cha siasa Tanzania kilichojifia chenyewe kabla ya uchaguzi 2025
Mbona umeghafilika namna hii baada ya kukumbushwa kuwa cuf ilimshinda ccm ??
 
View attachment 2130253

Wote tunafahamu kwamba Salum Jecha alifuta matokeo ya Urais ya 2015 baada ya Mgombea wa chama chake ccm aliyeitwa Mohamed Shein kuangushwa kwa kishindo na Gwiji Maalim Seif , huu ndio ukweli na ndivyo dunia inavyofahamu .

Salum Jecha alifuta uchaguzi ule kwa Maelekezo ya ccm , hii maana yake ni kwamba Jecha alishirikiana na ccm kufuta uchaguzi wote wa Urais kwa lengo la kuokoa chama chake baada ya Mgombea wao kuangukia pua , ikumbumbukwe kwamba Jecha ni Mwanaccm hai aliyeshiriki chaguzi za ubunge na Urais za chama hicho kama Mgombea .

Kabla ya tangazo la kufutwa kwa uchaguzi wa 2015 vyombo vya usalama vilisambazwa mitaani ili kukabiliana na watakaopinga , hii maana yake ni kwamba kulikuwa na ushirikiano kati ya Vyombo vya dola , ccm na Jecha , Sitaki kuamini kama Pius Msekwa alikuwa hayajui haya , kiasi cha kusema JECHA ALIFUTA UCHAGUZI PEKE YAKE , hapa amelenga kupotosha umma , hawa wazee wakiachwa kuendelea kupotosha watatuona sisi vijana wa kileo ni mabwege , nampinga vibaya sana huyu Mzee .

Ni kweli kwamba Jecha ndiye aliyetangaza kufutwa kwa uchaguzi ule kwa vile alikuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ule , lakini alitumwa kufanya vile na chama chake , hakuwa peke yake , Mzee Msekwa aseme ukweli ili aendelee kuheshimiwa .
Huyu mzee naye amechanganyikiwa
 
Mizee kama hii siipendi. Inatafuta ufalme wa mbinguni rate. Wamefanya mabaya sana wakiwa madarakani kwenye kiccm lao hilo. Wakati huo walikuwa kimya kwa mambo kama hayo. Leo hii wanatafuta kupendwa
 
Kama aliyebakwa katulia bila kulalamika, wewe mpitanjia uliyeshuhudia akibakwa huna mamlaka ya kuzuia chochote kama mbakaji na mbakwaji wameridhiana!.
P
Wewe unaye nyamazia ubakaji, ni mbakaji pia! Lakini tunajua Kwanini, kwa mfano nyie waandishi wa Habari, mnanyamaziaga ubakaji! Kwa mfano pasco, alikemea ubakaji kidogo tu, wana siasa, wakamwiita Dodoma, kumbaka!
 
Mimi nilichokiona 2015 yalikuwa ni mapinduzi ya kijeshi yaliyomweka shein madarakani ila jumuiya ya kimataifa na AU na EAC wakanyamaza sijui kwanini.
Seif Sharrif Hamad ndie alitaka kufanya mapinduzi na akaandaa mapinduzi na walipanga kuwa yeye ajitangaze kama mshindi kabla ya tume kutangaza Matokeo ya tume kuwa akishajitangaza kabla ya tume, tume ikija waliwaza itatangaza kuwa kashindwa watu waingie vitani chapchap

Kamati za ulinzi na usalama zikaingia kazini na tume kuangalia nini ni nini .Ikaonekana kakiuka sheria za tume ya uchaguzi kuwa ni tume tu ndio huruhusiwa kutangaza nani mshindi

Sababu yeye kiongozi mkuu mgombea kakiuka wakasema kum disqualify moja kwa moja litaleta vurugu na vita daw ni uchaguzi urudiwe ila asirudie tena kujitangaza asubiri tume itangaze.Mtego ukaepwa wa vita ikaepwa. wakasusa !!!Kama alishinda aliogopa niini Marudio?

Tatizo la Wazee kama Msekwa na baadhi ya wazee wengine ni kuamini kuwa wao wako relevant nyakati zote hawaamini vijana au generation zinazofuata kuwa wanajua ya zama zao cha kufanya!!

Tanzania 2015 nchi ilikuwa iingie vitani kupitia mitego miwili wa kwanza seif kujitangaza uraisi Zanzibar wa pili ulikuwa ule wa upinzani bara kutaka kukaa mita 200 toka kituo cha kupiga kura baada ya kupiga kura.Kitu ambacho Tulia Ackson aliokoa nchi kwenye hilo kwa kushinda hiyo kesi mahakamani kwa niaba ya Serikali. TULIA Ackson alitoa mchango mkubwa mno kuepusha nchi kutumbukia kwenye vita .Zile mita Mia mbili waliandaliwa washambuliaji wa kushambulia vituovya kuhesabu kura kuvuraga uchaguzi na kuanzisha vurugu na ugaidi

Atulie ale pension aamini waliopo vijana waliowaachia kijiti wanayaweza
 
Kama aliyebakwa katulia bila kulalamika, wewe mpitanjia uliyeshuhudia akibakwa huna mamlaka ya kuzuia chochote kama mbakaji na mbakwaji wameridhiana!.
P
Kama wameridhiana huo sio ubakwaji bali ni kujamiiana. Tuonyeshe wapi aliyeathirika na uamuzi wa Jecha alitangaza kuridhia uamuzi wake. Kama mpita ukishuhudia mtu anabakwa unaenda kumshika anaebakwa asifurukute basi na wewe ni sehemu ya ubakaji.

Amandla...
 
Seif Sharrif Hamad ndie alitaka kufanya mapinduzi na akaandaa mapinduzi na walipanga kuwa yeye ajitangaze kama mshindi kabla ya tume kutangaza Matokeo ya tume kuwa akishajitangaza kabla ya tume, tume ikija waliwaza itatangaza kuwa kashindwa watu waingie vitani chapchap

Kamati za ulinzi na usalama zikaingia kazini na tume kuangalia nini ni nini .Ikaonekana kakiuka sheria za tume ya uchaguzi kuwa ni tume tu ndio huruhusiwa kutangaza nani mshindi

Sababu yeye kiongozi mkuu mgombea kakiuka wakasema kum disqualify moja kwa moja litaleta vurugu na vita daw ni uchaguzi urudiwe ila asirudie tena kujitangaza asubiri tume itangaze.Mtego ukaepwa wa vita ikaepwa. wakasusa !!!Kama alishinda aliogopa niini Marudio?

Tatizo la Wazee kama Msekwa na baadhi ya wazee wengine ni kuamini kuwa wao wako relevant nyakati zote hawaamini vijana au generation zinazofuata kuwa wanajua ya zama zao cha kufanya!!

Tanzania 2015 nchi ilikuwa iingie vitani kupitia mitego miwili wa kwanza seif kujitangaza uraisi Zanzibar wa pili ulikuwa ule wa upinzani bara kutaka kukaa mita 200 toka kituo cha kupiga kura baada ya kupiga kura.Kitu ambacho Tulia Ackson aliokoa nchi kwenye hilo kwa kushinda hiyo kesi mahakamani kwa niaba ya Serikali. TULIA Ackson alitoa mchango mkubwa mno kuepusha nchi kutumbukia kwenye vita .Zile mita Mia mbili waliandaliwa washambuliaji wa kushambulia vituovya kuhesabu kura kuvuraga uchaguzi na kuanzisha vurugu na ugaidi

Atulie ale pension aamini waliopo vijana waliowaachia kijiti wanayaweza
Kama Jecha alijua CCM imeshinda kwa nini asitangaze tuu ushindi wa chama chake pendwa badala ya kufuta uchaguzi mzima?

Seif kwa nini aliamua kujitangaza wakati anajua hiyo ni kazi ya tume? Kama hakuwa na agenda ya siri kiherehere kilikuwa cha nini? Kama lengo halikuwa kuvuruga uchaguzi?

Aliyevuruga uchaguzi ni Seif sio Jecha
 
Back
Top Bottom