Mkuu
JokaKuu , there you are, na hili ndilo kosa kubwa la upinzani wa Tanzania!.
Uchaguzi unaendeshwa kwa mujibu wa katiba, sheria, taratibu na kanuni, hivyo kukitokea dosari zozote, kuna utaratibu wake wa kulalamika ikiwemo kujaza fomu za malalaliko SEL 04.
1. Tangazo lile la Jecha ni batili kwasababu Jecha hana mamlaka ya kujigeuza yeye ndie ZEC, hakukuwa na malalamiko yoyote ya kutokea dosari zozote zilizoripotiwa ZEC, kujustify kuufuta uchaguzi.
2. Watu wa kwanza kulalamika, rasmi, walipaswa kuwa wale wajumbe wawili wa CUF ndani ya ZEC, kuwa uamuzi ule ni wa Jecha na sio ZEC, walikaa kimya, kuonyesha ni walikubali.
3. CUF waliitisha Press Conference kulalamika na kutoa tangazo la kususia uchaguzi wa marudio.