Msekwa kudai kwamba Salum Jecha alifuta uchaguzi wa 2015 peke yake ni Uongo

[emoji38][emoji38][emoji38] endeleeni kupanua magoli .
 
Msekwa? another hopeless stooge that does not deserve respect!!
 
Mbona umeghafilika namna hii baada ya kukumbushwa kuwa cuf ilimshinda ccm ??
 
Huyu mzee naye amechanganyikiwa
 
Mizee kama hii siipendi. Inatafuta ufalme wa mbinguni rate. Wamefanya mabaya sana wakiwa madarakani kwenye kiccm lao hilo. Wakati huo walikuwa kimya kwa mambo kama hayo. Leo hii wanatafuta kupendwa
 
Wewe unaye nyamazia ubakaji, ni mbakaji pia! Lakini tunajua Kwanini, kwa mfano nyie waandishi wa Habari, mnanyamaziaga ubakaji! Kwa mfano pasco, alikemea ubakaji kidogo tu, wana siasa, wakamwiita Dodoma, kumbaka!
 
Mimi nilichokiona 2015 yalikuwa ni mapinduzi ya kijeshi yaliyomweka shein madarakani ila jumuiya ya kimataifa na AU na EAC wakanyamaza sijui kwanini.
Seif Sharrif Hamad ndie alitaka kufanya mapinduzi na akaandaa mapinduzi na walipanga kuwa yeye ajitangaze kama mshindi kabla ya tume kutangaza Matokeo ya tume kuwa akishajitangaza kabla ya tume, tume ikija waliwaza itatangaza kuwa kashindwa watu waingie vitani chapchap

Kamati za ulinzi na usalama zikaingia kazini na tume kuangalia nini ni nini .Ikaonekana kakiuka sheria za tume ya uchaguzi kuwa ni tume tu ndio huruhusiwa kutangaza nani mshindi

Sababu yeye kiongozi mkuu mgombea kakiuka wakasema kum disqualify moja kwa moja litaleta vurugu na vita daw ni uchaguzi urudiwe ila asirudie tena kujitangaza asubiri tume itangaze.Mtego ukaepwa wa vita ikaepwa. wakasusa !!!Kama alishinda aliogopa niini Marudio?

Tatizo la Wazee kama Msekwa na baadhi ya wazee wengine ni kuamini kuwa wao wako relevant nyakati zote hawaamini vijana au generation zinazofuata kuwa wanajua ya zama zao cha kufanya!!

Tanzania 2015 nchi ilikuwa iingie vitani kupitia mitego miwili wa kwanza seif kujitangaza uraisi Zanzibar wa pili ulikuwa ule wa upinzani bara kutaka kukaa mita 200 toka kituo cha kupiga kura baada ya kupiga kura.Kitu ambacho Tulia Ackson aliokoa nchi kwenye hilo kwa kushinda hiyo kesi mahakamani kwa niaba ya Serikali. TULIA Ackson alitoa mchango mkubwa mno kuepusha nchi kutumbukia kwenye vita .Zile mita Mia mbili waliandaliwa washambuliaji wa kushambulia vituovya kuhesabu kura kuvuraga uchaguzi na kuanzisha vurugu na ugaidi

Atulie ale pension aamini waliopo vijana waliowaachia kijiti wanayaweza
 
Kama wameridhiana huo sio ubakwaji bali ni kujamiiana. Tuonyeshe wapi aliyeathirika na uamuzi wa Jecha alitangaza kuridhia uamuzi wake. Kama mpita ukishuhudia mtu anabakwa unaenda kumshika anaebakwa asifurukute basi na wewe ni sehemu ya ubakaji.

Amandla...
 
Kama Jecha alijua CCM imeshinda kwa nini asitangaze tuu ushindi wa chama chake pendwa badala ya kufuta uchaguzi mzima?

Amandla...
 
Kama Jecha alijua CCM imeshinda kwa nini asitangaze tuu ushindi wa chama chake pendwa badala ya kufuta uchaguzi mzima?

Amandla...
Seif kwa nini aliamua kujitangaza wakati anajua hiyo ni kazi ya tume? Kama hakuwa na agenda ya siri kiherehere kilikuwa cha nini? Kama lengo halikuwa kuvuruga uchaguzi?

Aliyevuruga uchaguzi ni Seif sio Jecha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…