Msekwa kudai kwamba Salum Jecha alifuta uchaguzi wa 2015 peke yake ni Uongo

Mkuu, huwezi kuwa critical kama sio msafi, utakuwa unagusia mambo juu juu tu, kuna mambo ya maana huyo mzee anataka kuyasema lkn anapokumbuka anaweza kukumbushiwa ujumbe wake wa bodi ya mamlaka Ngorongoro anashuka chini.
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Vp Bado upi au NAWEWE unasafili na jecha?
 
Vp Bado upo au NAWEWE unasafili na jecha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…