Msemaji Mkuu wa serikali atoa uamuzi wa Baraza la Mawaziri kuhusu Ajali ya ndege Bukoba

Hivi kila mara huwa tunaambiwa tuwe watulivu kwani huwa tunafanya vurugu gani? Yaani wanatuambia tuliotulia tutulie[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ndiyo maana wengi huwa tunayapuuza tu hayo matamko yao yasiyokuwa na jipya
 

Kwa hivyo udharula wote kauli ndio hiyo?. Rais wa michongo. Kuanzia Leo Sina Rais.
 

Huyu mama sijui ana shida gani, hiyo kauli si ingetolewa bila kikao Cha dharula. Unavuta attention ya watu halafu unaleta utumbo. Huyu mama akae pembeni tupate Rais mwingine atakaye kuwa na maamuzi ya maana unaita kikao Cha dharula kuwaambia wananchi wawe watulivu.
 
Huo ni Umoja wa Mafis*,huwa hawageukani panapo nyama na mifupa.
"Report ikija utasikia, Rubani alikuwa na Makosa alionywa kuwa abaki Mwanza aligoma na alipofika Bukoba akashuhudia hali ya hewa mbaya na kurudi ilishindikana kwasababu alikuwa haoni mbele na rada ilikuwa haisomani na ndege.Kwaiyo tunawaonya Marubani kuacha tabia ya kukaidi maelekezo Kama ya Marehemu Rubani Rubaga"mwisho wa kunukuru ripoti ya mchongo!
 
Niliwaambia Hawa Jamaa wameenda Kula sitting allowance tu
 
toka apokwe ile nafasi ya usemaji pale ikulu hajakaa sawa.
Mkuu bandeko andeko, apokwe vipi wakati ni promosheni, amekuwa bosi kubwa!, Msemaji Mkuu wa Serikali pia ni Mkuu wa Idara inayojitegemea, Idara ya Habari Màelezo, ina vote yake, independent, na ndie bosi wa maofisa habari wote wa serikali, idara na wakala, akiwemo Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu ambacho ni kitengo tuu!. Gerson ni bosi wa Venus!.
P
 
Watendaji serikalini na watunga sera Mje hapa JamiiForums mpate mawazo na vipaumbele vya maendeleo ya watu vinavyotakiwa kama maji safi, salama na toshelezi ni kipaumbele namba moja ktk miji ya Tanzania .
Mkuu iviunafikiri hawajui chakufanya hao?
Kilajambo lahovyo unaloliona na kulisikia linafanywa kwa makusudi kwa sababu ya maslahi tu, nothing else.

Wanajua solution ya kilatatizo la nchi hii lakini wanaamua kuchagua matumbo yao kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…