Tulimumu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 14,409
- 13,262
Hivi kila mara huwa tunaambiwa tuwe watulivu kwani huwa tunafanya vurugu gani? Yaani wanatuambia tuliotulia tutulie[emoji1787][emoji1787][emoji1787]"Serikali inawaomba wananchi wote kuendelea kuwa watulivu wakati uchunguzi huu unafanyika na baada ya uchunguzi kukamilika watajulishwa. Aidha, Baraza linawashukuru na kuwapongeza wote waliohusika katika uokozi baada ya ajali hii kutokea" @MsigwaGerson
View attachment 2416510