The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
MSEMAJI mkuu wa Serikali Gerson Msigwa ameyaomba makampuni ya utengenezaji wa mabasi kutoka nchini China kuja kuwekeza kiwanda Cha utengenezaji wa mabasi hayo na vifaa vyake Ili Watanzania wajifunze Teknolojia na kupata ajira.
Akizungumza wakati wa uzinduzi wa toleo jipya la mabasi ya kampuni ya Yotong, msemaji mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema pia Serikali inakaribisha makampuni binafsi katika Uwekezaji wa mabasi ya mwendokasi baada ya miundombinu kukamilika.
Chanzo Global TV