McLaren
JF-Expert Member
- Feb 19, 2025
- 1,170
- 3,743
Alichoandika Gerson Msigwa leo kwenye ukursa wake wa X
Kuna shida gani namba ya Mtumishi wa Umma kuwekwa hadharani? Mbona kwenye website ya Bunge kwenye kila profile ya Mbunge wameweka namba zao?
Kwenye websites za Halmashuri na taasisi nyingine za Serikali namba za viongozi zote ziko hadharani.
Hawa walipa kodi ambao wanakatwa tozo na VAT, siku hizi ndo mnaita Nguchiro?