Msemaji Mkuu Wa Serikali Gerson Msigwa awaita walipa kodi 'Nguchiro'. Ni kiburi cha aina gani hiki?

Bado naliona wingu zito kwa watanganyika
Kwasababu wazee ambao tulitegemea wao ndo wawe sauti ya kurekebisha misingi iliyoharibika ndo wamegeuka wapumbavu wameshindwa kujua umuhimu wa neno
Uwajibikaji,haki ila wametanguliza neno maslahi binafsi
Kwasababu tunaendelea kupuuza red frags zinazoonekana Leo tutakuka kuhiitaji meza kipindi ambacho hakuna ata ubao wa kuichonga
 
Msigwa tuonyeshe hiyo 99% inayokusifu na kukupa motisha....Ilaaa ingekuwa 99% wanakutia moyo mbona kulalama?
 
Alichoandika Gerson Msigwa leo kwenye ukursa wake wa X

Kuna shida gani namba ya Mtumishi wa Umma kuwekwa hadharani? Mbona kwenye website ya Bunge kwenye kila profile ya Mbunge wameweka namba zao?

Kwenye websites za Halmashuri na taasisi nyingine za Serikali namba za viongozi zote ziko hadharani.

Hawa walipa kodi ambao wanakatwa tozo na VAT, siku hizi ndo mnaita Nguchiro?

View attachment 3579535

View attachment 3579536
Faki the mazafaka! Kama 99% ni messages za kumtia moyo, kelele za nini sasa? Alitaka iwe 100% as if yeye ni perfect kama Mungu?
 
Kwa status yake sifikirii kama ni sahihi kuongea au kuandika mambo kama HAYO .
 
Mtu anapost habari za nguchiro naona kuna Binadamu wa Chadema anakasirika.
 
Alichoandika Gerson Msigwa leo kwenye ukursa wake wa X

Kuna shida gani namba ya Mtumishi wa Umma kuwekwa hadharani? Mbona kwenye website ya Bunge kwenye kila profile ya Mbunge wameweka namba zao?

Kwenye websites za Halmashuri na taasisi nyingine za Serikali namba za viongozi zote ziko hadharani.

Hawa walipa kodi ambao wanakatwa tozo na VAT, siku hizi ndo mnaita Nguchiro?

View attachment 3579535

View attachment 3579536
Nguchiro ni wanyama wa aina gani?
 
Gerson, hivi na wewe umekuwa mwanaccm? Nilidhani msemaji wa serikali ni mtumishi wa serikali na siyo mwanasiasa kama ambayo wewe unajifanya. Gerson acha kujibishana na Wanasiasa hiyo si kazi yako, si kila aliyemo jikoni ni mpishi, wengine ni wakata kuni, ndivyo na wewe ulivyo.
 
Back
Top Bottom