Utajikuta korongoroni na watukanajiNamba ikwapi niombe mtaji
Mambo mengine ni uzuzu. Hakuna kitu mtabadilisha nyingi Nguchiro kama alivyoandika Gery. Nilikuwa na ninyi zamani ila nikagundua hata nyie Nguchiro mkishapewa mamlaka hamna kitu mtafanya zaidi ya kuendekeza visasi.
Anyway nchi hii kila mtu analipa Kodi. Msijifanye nyie thamani yenu ni kubwa kuliko wengine
Nguchiro ni yeye mwenyewe maana hapo anaandikia nguchiro wenzie maana huo mtandao wameufungia hadi VPN ndio utumike .
Anazungumzia uvunjaji wa sheria mbona yeye anavunja sheria kwa kutumia VPN kuingia X ?
99% ? PumbavuAlichoandika Gerson Msigwa leo kwenye ukursa wake wa X
Kuna shida gani namba ya Mtumishi wa Umma kuwekwa hadharani? Mbona kwenye website ya Bunge kwenye kila profile ya Mbunge wameweka namba zao?
Kwenye websites za Halmashuri na taasisi nyingine za Serikali namba za viongozi zote ziko hadharani.
Hawa walipa kodi ambao wanakatwa tozo na VAT kila siku hizi ndo mnaita Nguchiro?
View attachment 3579535
View attachment 3579536
Yaani sms 99% zionyeshe kumtia moyo kisha apanic hivyo? Au hizo 99% ni kama zile za kura za Samia 98% lakini akafanya mauaji ya kutisha ya watanganyika ili abaki madarakani?Alichoandika Gerson Msigwa leo kwenye ukursa wake wa X
Kuna shida gani namba ya Mtumishi wa Umma kuwekwa hadharani? Mbona kwenye website ya Bunge kwenye kila profile ya Mbunge wameweka namba zao?
Kwenye websites za Halmashuri na taasisi nyingine za Serikali namba za viongozi zote ziko hadharani.
Hawa walipa kodi ambao wanakatwa tozo na VAT kila siku hizi ndo mnaita Nguchiro?
View attachment 3579535
View attachment 3579536
Hawezi kuwa ameisajili hujui ile sheria waliweka usajili lengo kubwa ni kufanya monitoring na si vinginevyo.Labda kaisajili mkuu, VPN tanzania inatuhusiwa kutumika, muhimu uisajili.
Ulikuwa na nani zamani boss, maana ww mwenyewe umejiunga hapa jf 2018. Sasa ni zamani ipi, na ulikuwa na nani?Mambo mengine ni uzuzu. Hakuna kitu mtabadilisha nyingi Nguchiro kama alivyoandika Gery. Nilikuwa na ninyi zamani ila nikagundua hata nyie Nguchiro mkishapewa mamlaka hamna kitu mtafanya zaidi ya kuendekeza visasi.
Anyway nchi hii kila mtu analipa Kodi. Msijifanye nyie thamani yenu ni kubwa kuliko wengine
Kabisa mkuu, tunapaswa tujenge mifumo yetu ya uongozi na demokrasia upya kabisa from scratchTunahitaji systemic overhaul na siyo political cosmetic changes.
Maumivu ya watu ni halisi, na suluhisho lazima liwe la kimfumo.