Joshua Mbezi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2024
- 1,994
- 4,446
Pumbaavu usajili VPN ? ,unajua hata nini maana ya VPN we we ? ,usajili VPN ni yako hiyo ?Labda kaisajili mkuu, VPN tanzania inatuhusiwa kutumika, muhimu uisajili.
Pumbaavu usajili VPN ? ,unajua hata nini maana ya VPN we we ? ,usajili VPN ni yako hiyo ?
Muwe mnatumia akili
VPN sio Mali yakoMkuu usilete stress zako kwangu.
TCRA walisema, ukutaka kutumia VPN bongo sharti uisajili.
Faki the mazafaka! Kama 99% ni messages za kumtia moyo, kelele za nini sasa? Alitaka iwe 100% as if yeye ni perfect kama Mungu?Alichoandika Gerson Msigwa leo kwenye ukursa wake wa X
Kuna shida gani namba ya Mtumishi wa Umma kuwekwa hadharani? Mbona kwenye website ya Bunge kwenye kila profile ya Mbunge wameweka namba zao?
Kwenye websites za Halmashuri na taasisi nyingine za Serikali namba za viongozi zote ziko hadharani.
Hawa walipa kodi ambao wanakatwa tozo na VAT, siku hizi ndo mnaita Nguchiro?
View attachment 3579535
View attachment 3579536
Nikipewa tu mtaji una 10% yako 😃If you remove a very few people.
niseme tu nguchiro girishon ana english mbovu kabisa.
Evelyn Salt nimekutumia namba pm mkuu, tafadhali husinitaje bado nina watoto wadogo.
shida ni kwamba unaweza usipewe bure, yunowatimin?Nikipewa tu mtaji una 10% yako
Nguchiro ni wanyama wa aina gani?Alichoandika Gerson Msigwa leo kwenye ukursa wake wa X
Kuna shida gani namba ya Mtumishi wa Umma kuwekwa hadharani? Mbona kwenye website ya Bunge kwenye kila profile ya Mbunge wameweka namba zao?
Kwenye websites za Halmashuri na taasisi nyingine za Serikali namba za viongozi zote ziko hadharani.
Hawa walipa kodi ambao wanakatwa tozo na VAT, siku hizi ndo mnaita Nguchiro?
View attachment 3579535
View attachment 3579536
Gerson, hivi na wewe umekuwa mwanaccm? Nilidhani msemaji wa serikali ni mtumishi wa serikali na siyo mwanasiasa kama ambayo wewe unajifanya. Gerson acha kujibishana na Wanasiasa hiyo si kazi yako, si kila aliyemo jikoni ni mpishi, wengine ni wakata kuni, ndivyo na wewe ulivyo.Alichoandika Gerson Msigwa leo kwenye ukursa wake wa X