Msemaji Mkuu Wa Serikali Gerson Msigwa awaita walipa kodi 'Nguchiro'. Ni kiburi cha aina gani hiki?

Au naye ni nguchiro maana haiezekani nguchiro akawasiliana kwa simu.....yeye aseme anawasiliana na nguchiro wenzie
 
Sasa nyie mnaiweka namba ya mtu hadharani na kuhamasishana mumtukane mnategemea kuitwa malaika? Nyie CHADEMA na wote mnaomtukana Msigwa ni nguchiro waandamizi. Hiki mnachomfanyia Msigwa ni ushahidi tosha kuwa mlichocheana kufanya uhuni October 29.
 
Bora neno uchwara kuliko nguchiro, ni dharau, matusi na kebehi vilivyopitiliza.
 
Sasa nyie mnaiweka namba ya mtu hadharani na kuhamasishana mumtukane mnategemea kuitwa malaika? Nyie CHADEMA na wote mnaomtukana Msigwa ni nguchiro waandamizi. Hiki mnachomfanyia Msigwa ni ushahidi tosha kuwa mlichocheana kufanya uhuni October 29.
Mbona Mwajuma nchokonoe wa Kizimkazi ananuka punani na hatusemi.
 
Huyu nguchiro black mamba hafui dafu....anasagasaga vichwaa....
Nice name
 
Nguchiro kweli tena washenzi kabisa , mnasambaza chuki eti chama cha siasa ..Hiki ni kukifungia milele , wajinga sana kazi kuhamishwa utengano .
 
Anasemaje huyo Msigwa... tumemkosea nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…