Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa kuongea na Waandishi wa habari leo Nov 23, 2025

Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa kuongea na Waandishi wa habari leo Nov 23, 2025

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,848
Reaction score
63,306
G6bXbtfWUAArEFW.jpg
 
Larry Madowo atakuwepo
Anaandika Mtapa Ng'Wanandagula

TIMU YA UCHUNGUZI WA CNN – TANZANIA

Ripoti ya uchunguzi iliyotolewa na CNN iliandaliwa na wafuatao:

1. Larry Madowo
Mwandishi Mwandamizi, mwenye uzoefu wa kuripoti masuala ya kimataifa hususani uchumi na siasa. Ana Shahada ya Mawasiliano ya Umma kutoka Chuo Kikuu cha Daystar, Kenya, na MBA kutoka Chuo Kikuu cha Columbia, New York, USA.

2. Gianluca Mezzofiore
Mhariri Mwandamizi na mtaalamu wa uchunguzi wa taarifa za wazi. Amewahi kuthibitisha video ya wanajeshi wa Ethiopia wakiua raia na kutumia ubakaji kama silaha ya kivita huko Tigray. Ana Shahada ya Fasihi kutoka Chuo Kikuu cha Bologna, Italia, na Shahada ya Uzamili ya Uandishi wa Habari kutoka City University, London, UK.

3. Florence Davey-Attlee
Mwandishi Mwandamizi na mtayarishaji wa vipindi. Amewahi kuripoti matukio muhimu barani Ulaya, ikiwemo mashambulizi ya ISIS nchini Uingereza, Ufaransa, Ubelgiji, Ujerumani na Uturuki. Ana Shahada ya Uzamili katika Uandishi kutoka Chuo Kikuu cha Westminster, UK, na Shahada ya kwanza ya Sayansi ya binadamu (BSc in Human Biology) kutoka Chuo Kikuu Oxford, UK.

4. Barbara Alvanitidis
Mwandishi Mwandamizi anayesimamia uzalishaji wa maudhui. Ni msaidizi wa Kitengo cha Habari za Uchunguzi cha CNN. Amesharipoti matukio mengi kwa kufichua na kubainisha wahusika. Ana Shahada ya Uzamili katika Uandishi wa Habari za Kimataifa kutoka City University, UK, na Shahada ya Kwanza ya Sayansi ya Siasa kutoka Chuo Kikuu cha Ottawa, Canada.

5. Benjamin Strick
Mwandishi wa Habari Mwandamizi na mtaalamu wa uchunguzi. Amejikita katika uchambuzi wa taarifa za ukiukaji wa haki za binadamu na uhalifu wa kivita. Ana Shahada ya Sheria (LLB) kutoka Chuo Kikuu cha Bond, Australia, na Shahada ya Uzamili ya Uandishi wa Habari za Uchunguzi. Ni mshindi wa tuzo ya OSINT Champion of the Year – 2021.

6. Julie Zink
Mhariri Mwandamizi wa Maudhui ya Video. Amewahi kuwa Mzalishaji na Mhariri wa maudhui kabla ya kuwa Mhariri mwandamizi. Ana Shahada ya Kwanza ya Lugha na Shahada ya Uzamili ya Uandishi wa habari kutoka Chuo Kikuu cha Virginia, Marekani.

Naomba CV za wale Waandishi wetu
 
Msigwa angekaa kimya tu. Serikali imekuwa na kauli tofauti tofauti. Ilianza kwa kukataa kuwa hakukuwa na maandamano. Ikasema kulikuwa na wahalifu toka nje

Baadaye ikaja na kauli ya kukiri kuwa kulikuwa na maafa ya watanzania.
 
Hivi hatuwezi wananchi kuhire assassins kuua hizi mbegu za ibilisi Mpaka ziishe ?
 
Kwa tulipo fikia tunahitaji wananchi kuingia vitani dhidi ya hawa mbwa takataka ,hamna option nyingine effective zaidi ya hii
 
Kampeni ya kuwinda na kuua polisi,machawa na vibaka wanaojiita viongozi wa ccm ianze ,ni bora tuishi kigaidi hivi na ieleweke Kabisa
 
Anaongea sana. Sawa, ila kitu muhimu ni Samia apishe tu. Hayo mengine yanazungumzika
 
Waandishi wa habari ni kina nani nchi hii?

Ni ujinga hata kuona mtu anasoma makaratasi mnayaita magazeti nchi hii?

Kulipia kufurushi halafu unasikiliza ujinga eti wao wanaita habari pia ni ujinga.

Waandishi wa ccm na polisi wauwaji, mnakaa kuwasikiliza?

Hizi mambo kwanza zisingekuwa zinakatiza humu mimi ningekuwa miderator wa JF.

Haya mambo ni ya huko kwenye magroup ya ccm tu.
 
Back
Top Bottom