Msemaji Mkuu wa Serikali: Serikali inafuatilia kwa ukaribu mijadala ya JamiiForums, ile ya kufaa itachukuliwa na kufanyiwa kazi

Hata boss wao anasema hivyo mwisho siku anaona km ni uchochezi.
 
Tunampogeza sana Mkuu. Sisi Chawa wa Mama tunasema 2025 ni Dkt Samia tu!
 
Jambo jema sana
Wanakula dozi kimya kimya
 
Jamii forum ni Chuo Kikuu cha Masomo ya Uwazi na ukweli. Jamiiforums.com imesaidia sana waandishi wa habari kuwakomaza na kuwajenga wawe bora.
 
Nape yupo tweeter, alafu mlio karibu naye mwambieni yule mama aliemvunja kiuno kwa kumkanyaga ,anaitaji matibabu,
Nape alikiuka haki za binadam kwa kupita juu ya migongo ya wakinamama , na mwoshowe mmoja wao akamtengua kiuno
Mm nadhan kwa hilo Nape hana kosa ila ni upumbavu wa huyo mama, ht angekufa ingekuwa sawa tuu mana hana akili huyo mama
 
Hayati Jiwe Mwendakuzimu Mwenyewe alikuwa anaweka Kambi JF Kwa Fake ID akiburudika
 
Mi nilidhani vigogo ni wa tweter (x) tu kumbe hata humu wanaingia.
 
Kumbe ni mdau mkubwa huku, achukue ushauri mzuri tu umejaa JF
 
Nape yupo tweeter, alafu mlio karibu naye mwambieni yule mama aliemvunja kiuno kwa kumkanyaga ,anaitaji matibabu,
Nape alikiuka haki za binadam kwa kupita juu ya migongo ya wakinamama , na mwoshowe mmoja wao akamtengua kiuno
Hao kina mama walilazimishwa? Ushaona kina mama wa Machame au Marangu wakifanya ule upuuzi? Ulishawahi fika Mtama ukapaona palivyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…