Mkuu 'Gagnija', wewe ni mchokozi au mchokonozi?Umestaafu kufanya nini Mamndenyi? 😆😆
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu 'Gagnija', wewe ni mchokozi au mchokonozi?Umestaafu kufanya nini Mamndenyi? 😆😆
Mbona mama Wema alponda!!!Mana Huwez kualikwa mahali afu uanze kupaponda, huyo ilibidi aseme hvy mana amealikwa hapo
Tunampogeza sana Mkuu. Sisi Chawa wa Mama tunasema 2025 ni Dkt Samia tu!Msemaji Mkuu wa Serikali Bw. Mobhare Matinyi amesema ukisoma JamiiForums hata kama umeingia umenuna utacheka tu kwa kuwa ni sehemu inayowapa watanzania uhuru wa kuzungumza.
Ameipongeza JamiiForums kwa kuandaa shindano la stories of Change ambalo halfa ya utoaji wa zawadi kwa washindi inafanyika leo, Oktoba 7, 2023 kwenye hoteli ya Hyatt Regency, the Kilimanjaro.
Amesema jukwaa la stories of change linatoa fursa nyingi ikiwemo ya kukuza kiswahili, lakini Tanzania ina mtandao huu mmoja unaotumiwa na watu zaidi ya milioni 20.
Ameisifu JamiiForums kwa kuanzisha jukwaa la JamiiCheck linalowashirikisha wananchi Mchakato wa kuhakiki usahihi wa maudhui yanayopatikana ndani na nje ya mtandao.
Pia, amesema Serikali inafuatilia kwa ukaribu mijadala ya JamiiForums, ile ya kufaa itachukuliwa na kufanyiwa kazi.
Katika hatua nyingine, Bwana Mobhare amesema JamiiForums ni taasisi ya mfano katika kuwajengea uwezo waandishi wa habari ambapo sasa mojawapo ya miradi yake ni kuwajengea uwezo waandishi wa habari 600 nchi nzima ili kusaidia upatikaji wa taarifa za kutosha.
Zaidi, soma: Yanayojiri katika Usiku wa Utoaji Zawadi kwa Washindi wa Shindano la Stories of Change 2023
Jambo jema sanaMsemaji Mkuu wa Serikali Bw. Mobhare Matinyi amesema ukisoma JamiiForums hata kama umeingia umenuna utacheka tu kwa kuwa ni sehemu inayowapa watanzania uhuru wa kuzungumza.
Ameipongeza JamiiForums kwa kuandaa shindano la stories of Change ambalo halfa ya utoaji wa zawadi kwa washindi inafanyika leo, Oktoba 7, 2023 kwenye hoteli ya Hyatt Regency, the Kilimanjaro.
Amesema jukwaa la stories of change linatoa fursa nyingi ikiwemo ya kukuza kiswahili, lakini Tanzania ina mtandao huu mmoja unaotumiwa na watu zaidi ya milioni 20.
Ameisifu JamiiForums kwa kuanzisha jukwaa la JamiiCheck linalowashirikisha wananchi Mchakato wa kuhakiki usahihi wa maudhui yanayopatikana ndani na nje ya mtandao.
Pia, amesema Serikali inafuatilia kwa ukaribu mijadala ya JamiiForums, ile ya kufaa itachukuliwa na kufanyiwa kazi.
Katika hatua nyingine, Bwana Mobhare amesema JamiiForums ni taasisi ya mfano katika kuwajengea uwezo waandishi wa habari ambapo sasa mojawapo ya miradi yake ni kuwajengea uwezo waandishi wa habari 600 nchi nzima ili kusaidia upatikaji wa taarifa za kutosha.
Zaidi, soma: Yanayojiri katika Usiku wa Utoaji Zawadi kwa Washindi wa Shindano la Stories of Change 2023
Kamzidi kwa mbali sana mtangulizi wakeSitaki kumsifu maana ni mapema mno! But seems to have some senses. Even if it were me , I'll dwell on JF day and night to know the truth as people are free to speak their minds!
Huku nikutaka kuharibu uzi kwa MakusudiTunampogeza sana Mkuu. Sisi Chawa wa Mama tunasema 2025 ni Dkt Samia tu!
Inasikitisha sanaJiwe alitaka kuufungia huu mtandao
Nape yupo tweeter, alafu mlio karibu naye mwambieni yule mama aliemvunja kiuno kwa kumkanyaga ,anaitaji matibabu,JF ni Chimbo la Uhakika
Viongozi wote wamo 🤣🤣
Mambo ya wakwe hayo usiyalinganishe na mambo ya kisiasaMbona mama Wema alponda!!!
Ukweli unabaki kuwa Ukweli!!!
Mm nadhan kwa hilo Nape hana kosa ila ni upumbavu wa huyo mama, ht angekufa ingekuwa sawa tuu mana hana akili huyo mamaNape yupo tweeter, alafu mlio karibu naye mwambieni yule mama aliemvunja kiuno kwa kumkanyaga ,anaitaji matibabu,
Nape alikiuka haki za binadam kwa kupita juu ya migongo ya wakinamama , na mwoshowe mmoja wao akamtengua kiuno
Hayati Jiwe Mwendakuzimu Mwenyewe alikuwa anaweka Kambi JF Kwa Fake ID akiburudikaMsemaji Mkuu wa Serikali Bw. Mobhare Matinyi amesema ukisoma JamiiForums hata kama umeingia umenuna utacheka tu kwa kuwa ni sehemu inayowapa watanzania uhuru wa kuzungumza.
Ameipongeza JamiiForums kwa kuandaa shindano la stories of Change ambalo halfa ya utoaji wa zawadi kwa washindi inafanyika leo, Oktoba 7, 2023 kwenye hoteli ya Hyatt Regency, the Kilimanjaro.
Amesema jukwaa la stories of change linatoa fursa nyingi ikiwemo ya kukuza kiswahili, lakini Tanzania ina mtandao huu mmoja unaotumiwa na watu zaidi ya milioni 20.
Ameisifu JamiiForums kwa kuanzisha jukwaa la JamiiCheck linalowashirikisha wananchi Mchakato wa kuhakiki usahihi wa maudhui yanayopatikana ndani na nje ya mtandao.
Pia, amesema Serikali inafuatilia kwa ukaribu mijadala ya JamiiForums, ile ya kufaa itachukuliwa na kufanyiwa kazi.
Katika hatua nyingine, Bwana Mobhare amesema JamiiForums ni taasisi ya mfano katika kuwajengea uwezo waandishi wa habari ambapo sasa mojawapo ya miradi yake ni kuwajengea uwezo waandishi wa habari 600 nchi nzima ili kusaidia upatikaji wa taarifa za kutosha.
Zaidi, soma: Yanayojiri katika Usiku wa Utoaji Zawadi kwa Washindi wa Shindano la Stories of Change 2023
[emoji23]Wasiwe tu wanaingia kwenye PM ZETU kukagua UDAMBWI DAMBWI maana WATAZIMIA. Sio kwa UHONDO ULE [emoji3166]
Msemaji Mkuu wa Serikali Bw. Mobhare Matinyi amesema ukisoma JamiiForums hata kama umeingia umenuna utacheka tu kwa kuwa ni sehemu inayowapa watanzania uhuru wa kuzungumza.
Ameipongeza JamiiForums kwa kuandaa shindano la stories of Change ambalo halfa ya utoaji wa zawadi kwa washindi inafanyika leo, Oktoba 7, 2023 kwenye hoteli ya Hyatt Regency, the Kilimanjaro.
Amesema jukwaa la stories of change linatoa fursa nyingi ikiwemo ya kukuza kiswahili, lakini Tanzania ina mtandao huu mmoja unaotumiwa na watu zaidi ya milioni 20.
Ameisifu JamiiForums kwa kuanzisha jukwaa la JamiiCheck linalowashirikisha wananchi Mchakato wa kuhakiki usahihi wa maudhui yanayopatikana ndani na nje ya mtandao.
Pia, amesema Serikali inafuatilia kwa ukaribu mijadala ya JamiiForums, ile ya kufaa itachukuliwa na kufanyiwa kazi.
Katika hatua nyingine, Bwana Mobhare amesema JamiiForums ni taasisi ya mfano katika kuwajengea uwezo waandishi wa habari ambapo sasa mojawapo ya miradi yake ni kuwajengea uwezo waandishi wa habari 600 nchi nzima ili kusaidia upatikaji wa taarifa za kutosha.
Zaidi, soma: Yanayojiri katika Usiku wa Utoaji Zawadi kwa Washindi wa Shindano la Stories of Change 2023
Hao kina mama walilazimishwa? Ushaona kina mama wa Machame au Marangu wakifanya ule upuuzi? Ulishawahi fika Mtama ukapaona palivyo?Nape yupo tweeter, alafu mlio karibu naye mwambieni yule mama aliemvunja kiuno kwa kumkanyaga ,anaitaji matibabu,
Nape alikiuka haki za binadam kwa kupita juu ya migongo ya wakinamama , na mwoshowe mmoja wao akamtengua kiuno
Vipi Mcherengwa🤣🤣Mambo ya wakwe hayo usiyalinganishe na mambo ya kisiasa